Watu wenyewe wa UTO sasa hivi wanakwambia wanakuja na mpango kabambe wakuifanya Uto iwe timu inayojiendesha bila utegemezi yani wamekuja na bakuli la kidigital.kwanini Yanga hawafanyi vizuri kimataifa?
Je, kuna haja ya kuibadilisha ligi yetu iwe Club bingwa (local CAFCL) kuifanya Yanga iwe competitive? (🤣🤣😅😅)
umepiga mle mle kabisa mkuusiku zote tunawambia utopolo kuhusu ukubwa wa simba wao wamekalia ubishi tu!..... haya mtabaki kusema CAF na TFF wanaipendelea simba..bila kujua kuwa wakati wote mdogo yupo kwa ajili ya kufagia uwanja ili wakubwa wautumie. mkitaka kufanana na simba jitahidini mjenge timu yenu iwe shindani kimataifa na sio porojo za kuchukua kombe la ligi kuu mara nying.
Kwa upande wangu nafikiri haya masuala ya mashabiki kuingia uwanjani CAF wangeliacha shirikisho la nchi husika lideal nayo kulingana na sera za nchi hiyo kwenye mapambano dhidi ya COVID19...
Tatizo wao wanawekeza kwa vigazeti na redio uchwara na wachambuzi uchwara kuipamba timu badala ya kuwekeza katika ubora wa uwanjani.siku zote tunawambia utopolo kuhusu ukubwa wa simba wao wamekalia ubishi tu! Haya mtabaki kusema CAF na TFF wanaipendelea simba, bila kujua kuwa wakati wote mdogo yupo kwa ajili ya kufagia uwanja ili wakubwa wautumie.
Mkitaka kufanana na simba jitahidini mjenge timu yenu iwe shindani kimataifa na sio porojo za kuchukua kombe la ligi kuu mara nying.
Simba ya msimu huu imefia kwenye number10 so usitegemee ubora ule tenasiku zote tunawambia utopolo kuhusu ukubwa wa simba wao wamekalia ubishi tu! Haya mtabaki kusema CAF na TFF wanaipendelea simba, bila kujua kuwa wakati wote mdogo yupo kwa ajili ya kufagia uwanja ili wakubwa wautumie.
Mkitaka kufanana na simba jitahidini mjenge timu yenu iwe shindani kimataifa na sio porojo za kuchukua kombe la ligi kuu mara nying.
Mkuu, mwenye mashindano ndio anaweka "vigezo na masharti" vitakavyotumika kwenye mashindano "yake".Kwa upande wangu nafikiri haya masuala ya mashabiki kuingia uwanjani CAF wangeliacha shirikisho la nchi husika lideal nayo kulingana na sera za nchi hiyo kwenye mapambano dhidi ya COVID19. Muhimu wasisitize njia za kawaida za kujilinda zifuatwe.
Kulazimisha nchi zote ziwe sawa na Morroco au South Africa sio sawa.
Sioni mantiki ya kutupangia idadi ya mashabiki uwanjani ligi ya mabingwa wkt kwenye ligi ya ndani tunajazana kama siafu.
Ligi za ndani si mnakua wenyewe na mnalundikana wenyewe ata mkiambukizana mnaambukizana wenyewe.Jambo lolote likishakua la kimataifa lazima kuwe na mwongozo,maana kama sisi bongo tunajijua tulivyo watu wakupuuzia mambo nakuchukukia rahisi.Kwa upande wangu nafikiri haya masuala ya mashabiki kuingia uwanjani CAF wangeliacha shirikisho la nchi husika lideal nayo kulingana na sera za nchi hiyo kwenye mapambano dhidi ya COVID19. Muhimu wasisitize njia za kawaida za kujilinda zifuatwe.
Kulazimisha nchi zote ziwe sawa na Morroco au South Africa sio sawa.
Sioni mantiki ya kutupangia idadi ya mashabiki uwanjani ligi ya mabingwa wkt kwenye ligi ya ndani tunajazana kama siafu.
Nyie jazaneni ila wao hawataki wawe sababu ya nyie kudhurika na hii pandemicKwa upande wangu nafikiri haya masuala ya mashabiki kuingia uwanjani CAF wangeliacha shirikisho la nchi husika lideal nayo kulingana na sera za nchi hiyo kwenye mapambano dhidi ya COVID19. Muhimu wasisitize njia za kawaida za kujilinda zifuatwe.
Kulazimisha nchi zote ziwe sawa na Morroco au South Africa sio sawa.
Sioni mantiki ya kutupangia idadi ya mashabiki uwanjani ligi ya mabingwa wkt kwenye ligi ya ndani tunajazana kama siafu.
Hizo ni regional protocols lazima kuwe na chombo kimoja ku hermonize.Kwa upande wangu nafikiri haya masuala ya mashabiki kuingia uwanjani CAF wangeliacha shirikisho la nchi husika lideal nayo kulingana na sera za nchi hiyo kwenye mapambano dhidi ya COVID19. Muhimu wasisitize njia za kawaida za kujilinda zifuatwe.
Kulazimisha nchi zote ziwe sawa na Morroco au South Africa sio sawa.
Sioni mantiki ya kutupangia idadi ya mashabiki uwanjani ligi ya mabingwa wkt kwenye ligi ya ndani tunajazana kama siafu.