CAF: Mechi za kimataifa, Biashara, Azam na Simba mashabiki ruksa

Kwa upande wangu nafikiri haya masuala ya mashabiki kuingia uwanjani CAF wangeliacha shirikisho la nchi husika lideal nayo kulingana na sera za nchi hiyo kwenye mapambano dhidi ya COVID19. Muhimu wasisitize njia za kawaida za kujilinda zifuatwe.

Kulazimisha nchi zote ziwe sawa na Morroco au South Africa sio sawa.

Sioni mantiki ya kutupangia idadi ya mashabiki uwanjani ligi ya mabingwa wkt kwenye ligi ya ndani tunajazana kama siafu.

Upo sahihi sana mkuu

CAF wana hoja za kipuuzi sana, wanakera sana sana
Wanalazimisha utaratibu uliopo Egypt na nchi zingne basi uendelee hata katika mataifa yetu ilhali sisi tulishaachana na mambo ya kuzuia mashabk uwanjani kisa covid
 
Kwa upande wangu nafikiri haya masuala ya mashabiki kuingia uwanjani CAF wangeliacha shirikisho la nchi husika lideal nayo kulingana na sera za nchi hiyo kwenye mapambano dhidi ya COVID19. Muhimu wasisitize njia za kawaida za kujilinda zifuatwe.

Kulazimisha nchi zote ziwe sawa na Morroco au South Africa sio sawa.

Sioni mantiki ya kutupangia idadi ya mashabiki uwanjani ligi ya mabingwa wkt kwenye ligi ya ndani tunajazana kama siafu.
Fact...

Nadhani wameamua kubalance suala la mashabiki ili kuzipa ahueni nchi ambazo hawaruhusu mashabiki.
 
Utopolo a.k.a kamati ya mapokezi wanachoweza ni kuwapokea wapinzani wa Simba tu.
 
Back
Top Bottom