Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Kwa kweli nimeumia sana niwe mkweli, hawa Rivers nao ni wa kutufunga kweli?
Sawa tulifungwa lakini makosa haya yamechangia
1: kocha alijua wazi na kuona namna mukoko na zawadi hasa hasa zawadi walivyopwaya, na bado hakuchukua hatua yoyote, matokeo yake tukawa tunakimbizwa tu kati na kina ukwe.
2: kumtoa makambo na yacouba ambao walikuwa mwiba sana muda mwingi na kumuingiza nchimbi ambae alikuwa anakosea hata kutuliza mpira. Afadhali yule yusuph.pia huenda makambo alikuwa kwenye hali mbaya kutokana na jeraha la kichwa, sijajua lakini nchimbi hapana aiseeh..
3: kocha hajawafundisha wachezaji wetu kucheza kona mpaka leo? Lile goli halina tofauti na lile la zanaco la kusawazisha kutokana na kona. Wachezaji hawaruki ***** zao hawa malaya..!
Kwanza jamaa wamepigiana kona fupi wawili, na anaenda adeyum pekee, sasa unategemea nini kama sio kufungwa, pia mpira ukarudishwa na kichwa kati bado hawajaruka! Na walikuwa saba kama sio nane..! Poor marking..
4: mpaka sasa hatuelewi timu yetu inacheza kwa mfumo gani.
Mara wabutue mara wapige back pass hao zawadi na mukoko. Tena huyu mukoko tangu mechi na zanaco alinipa mashaka sana. Alikuwa anakosea kosea sana.. Alipoingia bangala kwenye mechi ile (zanaco) alifanya vizuri sana. Sasa why leo hajaingia? Simpangii kocha lakini sisi mashabiki tunaona pia performance za wachezaji wetu pia kama yeye anavyoona..
Hiki kikosi inawezekama ni kizuri lakini tunakosa kocha trust me.!
Tunaweza tukamtoa River lakini huko mbele kutakuwa na aibu kubwa kama kocha akifanya maamuzi kama ya leo. Na jinsi Team ilivyocheza
Ni kibwana na Job walifanya kazi kubwa sana,wengine utumbo na mashudu.
Watu tulitgemea leo Tumalizie starehe zetu kwa team yetu lakini wanatufanyia huu upimbi kmmmk..!
Caf wachunguze vyeti vya huyu kocha wetu sio bure..