CT SCan Mchina
JF-Expert Member
- Mar 13, 2013
- 1,311
- 287
Hivi CAF wapo humu JF?Habari wadau,.
Nilikuwa na pendekezo kwa shirikisho la mpira Afrika (CAF), mashindano yajayo kwenye Champions na Federation, timu zishinde kwa juhudi zake bila kuongezewa GOLI zinapoenda ugenini. Na Fainali iwe MOJA tu.
Mgeweza kusafiri kwenda kuishabikia ya ga kama final inapigwa neutral venue?Habari wadau,.
Nilikuwa na pendekezo kwa shirikisho la mpira Afrika (CAF), mashindano yajayo kwenye Champions na Federation, timu zishinde kwa juhudi zake bila kuongezewa GOLI zinapoenda ugenini. Na Fainali iwe MOJA tu.
TFF ni mwanachama wao CAF, hivyo humu JF hatuwezi kukosa wajumbe wa TFF ambao wanaweza kutusogezea hili suala likawafikia.Hivi CAF wapo humu JF?
YANGA ipewe heshima yake ni kubwa kuliko hao unaodhani ni wakubwa.Yaani ifanye kisa Yanga!!?
Mlizidi kelele na dharau kwa wakubwa wenu
siyo umagharibi tu Bali tunakimbizana na sayansi ya mpira wa ushindani wa kisasa zaidi.acha kuwa mtumwa wa fikra za kimagaharibi, Kwa hiyo kila kinachofanywa na wamagharibi lazima na sisi tuige?
Hiyo kitu wamejaribu but wamerudi kwenye both legsTFF ni mwanachama wao CAF, hivyo humu JF hatuwezi kukosa wajumbe wa TFF ambao wanaweza kutusogezea hili suala likawafikia.
Wewe inwkuingia akilini fainali kuchezwa nyumbani ns ugenini? Yaani ukikaa na kuwaza unaona kabisa ni sawa timu A kuanzia nyumbani ns kumalizia fainali ya pili ugenini?acha kuwa mtumwa wa fikra za kimagaharibi, Kwa hiyo kila kinachofanywa na wamagharibi lazima na sisi tuige?
Wanafikiri wanaweza kuishikiniza CaF kama walivyoshikiniza TFF hukumu ya FeitotoYaani ifanye kisa Yanga!!?
Mlizidi kelele na dharau kwa wakubwa wenu
Mbona hata nawe hapa unapiga kelele tu, unajumuishaje mawazo ya Watu tofauti humu JF kuwa ya wote?Yaani ifanye kisa Yanga!!?
Mlizidi kelele na dharau kwa wakubwa wenu
Wee leo umevurugwaaaaa, hebu relaaaaaaxxxxxMbona hata nawe hapa unapiga kelele tu, unajumuishaje mawazo ya Watu tofauti humu JF kuwa ya wote?
Waweza orodhesha majina yao wote hao waliokupigia kelele utayaambatanisha hapa au unahemukwa tu na hisia?
Hivi unaelewa ujumbe wa kiroho ulioubeba kupitia ID yako?
ID yako unaitumia kimakosa sana.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Mm CAF nimesikia kilio cha wapenzi wa Amfibia kwa masikitiko makubwa na ahidi kulifanya kazi ombi hili kabla ya finally ya piliHabari wadau
Nilikuwa napendekezo kwa shirikisho la mpira Afrika (CAF), mashindano yajayo kwenye Champions na Federation, timu zishinde kwa juhudi zake bila kuongezewa GOLI zinapoenda ugenini. Na Fainali iwe Moja
Kwanini?? Toa ufafanuzi...Yanga hata akishinda moja Bila huko Algeria Hana chake
Kwasababu karuhusu kutobolewa goli la pili akiwa bado anashangilia kigoli chake cha papatu, huku mabeki wake wakiteswa kwanza kabla mkandaji hajakandikiza mkando wa nguvu kunyavu, huoni hii ni sababu iliyojitosheleza uto kuukosa ubingwa? na kama vp injinia wa mchongo alibomoe tu hili litimu maana tumechoka kukandwa mbilimbili, yaani ya kibu dee hayajaisha vizuri, leo tena tunakandwa kiuzuri kabisa na mwarabu dah! hatukubali, au sio WANANCHIII?Kwanini?? Toa ufafanuzi...
Kwasababu sisi uto tumekubali kukandwa goli huku bado tukiwa tunashangilia kigoli chetu cha mchongo, je huoni hii ni sababu tosha kabisa kuweza kutukosesha kombe sisi utombile hata kama tukishinda njaa kule machinjioni na mahari yaliko malalo yetu sisi utombile?Kwanini?? Toa ufafanuzi...
Akili za kusikia changanya na zakoYANGA ipewe heshima yake ni kubwa kuliko hao unaodhani ni wakubwa.