CAF, Napendekeza kufutwa goli la ugenini na Fainali Moja

CAF, Napendekeza kufutwa goli la ugenini na Fainali Moja

Kwanini?? Toa ufafanuzi...
Mkuu ngoja nikupe ufafanuzi mwepesi, ikitokea yanga akashinda moja kwa bila huko ugenini jumla ya matokeo yote yatakuwa 2-2. Sasa kwanini yanga anaukosa ubingwa ni kila timu inafutiwa magoli aliyopata nyumbani anahesabiwa aliyopata ugenini tu, yanga nyumbani alipata moja linafutwa kwahiyo game ya mkapa inahesabika mbili bila na na game ya algeria inahesabika moja bila bila kwahiyo matokeo yanakuwa 2-1
 
Wewe inwkuingia akilini fainali kuchezwa nyumbani ns ugenini? Yaani ukikaa na kuwaza unaona kabisa ni sawa timu A kuanzia nyumbani ns kumalizia fainali ya pili ugenini?

Kubalini wamagharibi wametuzidi vingi.
Kabisa kabisa
 
Back
Top Bottom