CAF opened an investigation against the Simba

Vyura wanaruka ruka vyura.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hii habari wanachochea wacongo wenyewe kwenye account yao ya Facebook lakini Hiyo account haijawa verified,Inaitwa Sport Africa Today. Hawa ndo wanasambaza hizi habari mitandaoni.Hakuna kwingine utakazozipata habari hizi tofauti ni account ndo wa kwanza kabisa kuchochea but CHUKI tu zinawafanya hivyo.
 
Kuna mechi Simba walicheza away huko Swaziland Haji Manara aka posti kwamba alikua ana linda changing room wasipulize dawa leo hii wao wana tuhumiwa na hii tabia, anyway acha tuone yata kwenda vipi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mechi Simba walicheza away huko Swaziland Haji Manara aka posti kwamba alikua ana linda changing room wasipulize dawa leo hii wao wana tuhumiwa na hii tabia, anyway acha tuone yata kwenda vipi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Draw imepangwa subiri ipite kwanza mechi ya Mazembe ndo mje tena na mengine... Vyura weusi nyinyi!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

You are jumping to conclusion katika andiko lako...soma vizuri andiko langu utaelewa...Acha lugha ya kejeli katika mijadala hutapungukiwa na lolote...acha kuandika katika 'akili yako' ..hii ni lugha ya kejeli na dharau...Kama watakuja na kuchunguza na kuona hamna lolote it is well and good...tunaombea iwe hivyo, wasikute chochote...Lakini kwamba wamekuja kuchunguza is something else..ni doa...ukituhumiwa kuwa wewe ni mwizi na wakati siyo tayari umechafuliwa.na siyo Simba ni nchi....Sijui kwanini watu mnakuwa na jazba katika kulijadili suala hili..tulieni na chambueni mambo au issues...Hata hilo kuhusu Zahera sijui amefanya hiki na kile halina ushahidi...Watanzania huwa hatutulii katika kufuatilia issues...tumejaa malalamiko...Mimi nimeandika hiki wewe unanilisha hoja ...siyo sahihi....You have to be sober in your arguments...usigubikwe na mihemuko na biases.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…