Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AS VITA WANGAPI WALIKUFA NA HII SUMU
Wana Jazba si kitoto.Wala makombo ni wazoefu kwenda CAF/FIFA kushitaki. Wakisikia wanashitakiwa wao wanang'aka mno.
Kittalamu ni sumu gani hutumika katka michezo?Akisema au wakisema 'sumu' haina maana 'sumu' ya kuua....inawezekana wana maana ya 'gas' inayonyong'onyesha viungo...anyway tuwaachie wenyewe...lakini suala hili sijalipenda ..lina athari kwa soka ya Tanzania...
Kittalamu ni sumu gani hutumika katka michezo?
Nadhani ni zile zinazofanyaga mashabiki wazimie katika kariakoo Derby! ila Kama ni zile sijui utapimia Nini kuzigundua[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Kittalamu ni sumu gani hutumika katka michezo?
Hivi kweli kabisa kwenye akili yako unafikiri Simba walipuliza sumu? Zahera katusaidia Sana Wana Simba tumshukuru kwani kawatoa mchezoni wacongo wenzake...Simba hawana ujanja wakupuliza sumu vyumba ni labda useme walichoma udi katika vyumba vya kubadirishia nguo ambazo hizo ni Zile Tamaduni zetu za Waafrica katika swala la kutiana hofu Kama unavyoiona picha zingine zinaonyesha Kiongozi was As Vita anasaidia kumwagia uwanja na kufikia nyasi...hiyo sumu haiwezi ikathibitishwa kwenye maabara yoyote.Sijui...sitaki kuitwa kutoa ushahidi...sijui kabisa...Ila kwa kweli jambo hili siyo zuri...naona humu watu wanajadili kiutani...Kama ni kweli thisi is a very serious issue... Hivi wezi wanapoiba usiku na kuwapuulizia dawa wahanga huwa inakuwaje...ni suala la kiwango cha 'gas' iliyopulizwa...ni hatari sana....Ikitihbitika...timu husika inaweza kufungiwa kushiriki michuano kwa miaka mingi na hata uwanja wenyewe kufungiwa au viongozi kufungiwa maisha...mnamkumbuka yule kiongozi wa Yanga aliyefungiwa maisha kwa suala jingine?
Bro unajua adhabu endapo ikidhibitika simba walitumia gas.issue hii waarabu walilipoti na as vita karipoti ndo maana CAF wameamua kulishugulikia kwa haraka.anyway tuombe tusiwe na hatia vinginevyo bani inatuhusu kuanzia timu viongozi hadi uwanjaChura bana.Na yeye pia alipuliziwa dawa. Kuja kuzinduka kimoko tayari kunako.
Bro this is seriously issue CAF wanaweza kulala na sisi sio vita aliyelalamika hata Al ahary alilalamikia same situation.so kuna kesi mbili.anyway adhabu ni ban kuanzia timu viongozi hadi uwanja husika na kupokonywa ushindiHiyo sumu wanapaswa kuireport kabla ya match, hatuyaki visingizio, wangeshinda wangeireport simba?
Mtani kwa uwepo WA DAB lolote linawezekana mliwaspry wakongomaniChura bana.Na yeye pia alipuliziwa dawa. Kuja kuzinduka kimoko tayari kunako.
Pia ndani ya miaka 2 mzee baba.mzee wa hiyo mipango mibovu ya kibabe naona amezeeka kwa kasi ya ajabu na akiendelea hivi akifika kwenye kampeni akiweza kupiga pushup 5 haki ya nani nahamia ccm
Sent using Jamii Forums mobile app
Awaamini wanachokiona, jssaura should also report the same!!
Waje tu wachunguze kama vyumba vinawekewa sumu. Hawatakuta kitu. Kama ni sumu, tangu lini hewa ya sumu ikazuiwa kwa mask? 😀 😀 😀
Kwanini mna teseka sana, mda huo mnao utumia vibaya hama sishaneni kujaza bakuli lenu
Halafu, kwa nini makamisaa wasiambiwe kabla ya mechi ili wachukue ushahidi,badala yake mechi ikiisha ndio wanajilaza na kujipiga picha? Halafu walibadilishia nguo kwenye corridor na bado wanadai sumu, sasa mbona corrido hilo ndio njia ya kupita, kama kuna sumu hata Simba wachezaji wake wangelewa? Wanaweweseka hao
Sijui kama kweli wamempeleka hizo tuhuma, hila hii si yakuchekea japo watu wanaona kawaida tu maana hata kwenye ligi ya nyumbani kuna timu zikija Taifa kucheza na timu inayotuhumiwa wanagoma wachezaji wao kuingia vyumbani
nyie Vyura FC endeleen tu kuteseka ss Akili yetu iko kwenye match znazofuata
Попередження про переадресуванняVyura mwaka huu mtapata tab sana
View attachment 1051531
usipaniki ndugu tusubiri matokeo ya uchunguzi. Mtani mapenzi yako ya dhati kwa klabu yako sikufanye upaniki kiasi hichoWewe kweli Popoma haswa. AL Ahly waliripoti halafu CAF wakakaa kimya!!!
Tafuteni ujinga mwingine wa kuripoti. Yaani timu ipuliziwe dawa halafu iendelee kucheza ifunge goli la kwanza ifanikiwe kuhold in mpaka dakika za mwisho!!!
Wamepuliziwa nini mosquito spray ambazo hazina athari mpaka waweze kucheza dakika 95??
Kweli unaamini huo ujinga???
Watu hawaamini matokeo na kwa sababu wanateseka watatafuta hata sababu za kijinga sizizo na mashiko.
Acha kukuza vitu hizo sababu tu wanatafuta wacongo maana kutoka kuwa mwana final Hadi kumaliza wa mwisho ni aibu Sana hususani wao wanajiona Mpira wanajua peke yao..mtandao husuka want CAF umeona wamewndika habari hii au umeona katika account na mitandao ya kicongo...dawa ni ile Ile Mazembe wakija nao wanaweza kusikia harufu ya Udi maana sio sumu wakipaniki kwakua washakua waoga wanapigwa zao 3 Hadi 4usipaniki ndugu tusubiri matokeo ya uchunguzi. Mtani mapenzi yako ya dhati kwa klabu yako sikufanye upaniki kiasi hicho