CAF opened an investigation against the Simba

CAF opened an investigation against the Simba

Vyura mwaka huu mtapata tab sana
IMG-20190322-WA0022.jpg
 
Mazembe wakija pale kwa mkapa kipigo ni wajibu Sasa na wao sijui watatoa kisingizio gani na wao! Pale kwa mkapa ni kaburini kwa timu zote zinazokuja Tanzania kwenye michuano ya CAF...Nkana hajawahi kufungwa kwake kwenye michuano ya CAF kwa miaka zaidi ya 36

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akisema au wakisema 'sumu' haina maana 'sumu' ya kuua....inawezekana wana maana ya 'gas' inayonyong'onyesha viungo...anyway tuwaachie wenyewe...lakini suala hili sijalipenda ..lina athari kwa soka ya Tanzania...
Kittalamu ni sumu gani hutumika katka michezo?
 
Kittalamu ni sumu gani hutumika katka michezo?

Sijui...sitaki kuitwa kutoa ushahidi...sijui kabisa...Ila kwa kweli jambo hili siyo zuri...naona humu watu wanajadili kiutani...Kama ni kweli thisi is a very serious issue... Hivi wezi wanapoiba usiku na kuwapuulizia dawa wahanga huwa inakuwaje...ni suala la kiwango cha 'gas' iliyopulizwa...ni hatari sana....Ikitihbitika...timu husika inaweza kufungiwa kushiriki michuano kwa miaka mingi na hata uwanja wenyewe kufungiwa au viongozi kufungiwa maisha...mnamkumbuka yule kiongozi wa Yanga aliyefungiwa maisha kwa suala jingine?
 
Hivi kweli kabisa kwenye akili yako unafikiri Simba walipuliza sumu? Zahera katusaidia Sana Wana Simba tumshukuru kwani kawatoa mchezoni wacongo wenzake...Simba hawana ujanja wakupuliza sumu vyumba ni labda useme walichoma udi katika vyumba vya kubadirishia nguo ambazo hizo ni Zile Tamaduni zetu za Waafrica katika swala la kutiana hofu Kama unavyoiona picha zingine zinaonyesha Kiongozi was As Vita anasaidia kumwagia uwanja na kufikia nyasi...hiyo sumu haiwezi ikathibitishwa kwenye maabara yoyote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chura bana.Na yeye pia alipuliziwa dawa. Kuja kuzinduka kimoko tayari kunako.
 
Chura bana.Na yeye pia alipuliziwa dawa. Kuja kuzinduka kimoko tayari kunako.
Bro unajua adhabu endapo ikidhibitika simba walitumia gas.issue hii waarabu walilipoti na as vita karipoti ndo maana CAF wameamua kulishugulikia kwa haraka.anyway tuombe tusiwe na hatia vinginevyo bani inatuhusu kuanzia timu viongozi hadi uwanja
 
Hiyo sumu wanapaswa kuireport kabla ya match, hatuyaki visingizio, wangeshinda wangeireport simba?
Bro this is seriously issue CAF wanaweza kulala na sisi sio vita aliyelalamika hata Al ahary alilalamikia same situation.so kuna kesi mbili.anyway adhabu ni ban kuanzia timu viongozi hadi uwanja husika na kupokonywa ushindi
 
Guys this very serious issue athari zake ni kubwa kuliko vijembe na utani wetu wa simba na yanga. But uwepe DAB unanilaumu wasiwasi kunauwezekano mlispry wakongo
Pia ndani ya miaka 2 mzee baba.mzee wa hiyo mipango mibovu ya kibabe naona amezeeka kwa kasi ya ajabu na akiendelea hivi akifika kwenye kampeni akiweza kupiga pushup 5 haki ya nani nahamia ccm

Sent using Jamii Forums mobile app
Awaamini wanachokiona, jssaura should also report the same!!
Waje tu mbona hatutishiwi nyau ss ni Simba

Sent using Jamii Forums mobile app
Waje tu wachunguze kama vyumba vinawekewa sumu. Hawatakuta kitu. Kama ni sumu, tangu lini hewa ya sumu ikazuiwa kwa mask? 😀 😀 😀
Kwanini mna teseka sana, mda huo mnao utumia vibaya hama sishaneni kujaza bakuli lenu
Halafu, kwa nini makamisaa wasiambiwe kabla ya mechi ili wachukue ushahidi,badala yake mechi ikiisha ndio wanajilaza na kujipiga picha? Halafu walibadilishia nguo kwenye corridor na bado wanadai sumu, sasa mbona corrido hilo ndio njia ya kupita, kama kuna sumu hata Simba wachezaji wake wangelewa? Wanaweweseka hao
Sijui kama kweli wamempeleka hizo tuhuma, hila hii si yakuchekea japo watu wanaona kawaida tu maana hata kwenye ligi ya nyumbani kuna timu zikija Taifa kucheza na timu inayotuhumiwa wanagoma wachezaji wao kuingia vyumbani
nyie Vyura FC endeleen tu kuteseka ss Akili yetu iko kwenye match znazofuata
 
Wewe kweli Popoma haswa. AL Ahly waliripoti halafu CAF wakakaa kimya!!!
Tafuteni ujinga mwingine wa kuripoti. Yaani timu ipuliziwe dawa halafu iendelee kucheza ifunge goli la kwanza ifanikiwe kuhold in mpaka dakika za mwisho!!!
Wamepuliziwa nini mosquito spray ambazo hazina athari mpaka waweze kucheza dakika 95??
Kweli unaamini huo ujinga???
Watu hawaamini matokeo na kwa sababu wanateseka watatafuta hata sababu za kijinga zisizo na mashiko.
 
Wewe kweli Popoma haswa. AL Ahly waliripoti halafu CAF wakakaa kimya!!!
Tafuteni ujinga mwingine wa kuripoti. Yaani timu ipuliziwe dawa halafu iendelee kucheza ifunge goli la kwanza ifanikiwe kuhold in mpaka dakika za mwisho!!!
Wamepuliziwa nini mosquito spray ambazo hazina athari mpaka waweze kucheza dakika 95??
Kweli unaamini huo ujinga???
Watu hawaamini matokeo na kwa sababu wanateseka watatafuta hata sababu za kijinga sizizo na mashiko.
usipaniki ndugu tusubiri matokeo ya uchunguzi. Mtani mapenzi yako ya dhati kwa klabu yako sikufanye upaniki kiasi hicho
 
usipaniki ndugu tusubiri matokeo ya uchunguzi. Mtani mapenzi yako ya dhati kwa klabu yako sikufanye upaniki kiasi hicho
Acha kukuza vitu hizo sababu tu wanatafuta wacongo maana kutoka kuwa mwana final Hadi kumaliza wa mwisho ni aibu Sana hususani wao wanajiona Mpira wanajua peke yao..mtandao husuka want CAF umeona wamewndika habari hii au umeona katika account na mitandao ya kicongo...dawa ni ile Ile Mazembe wakija nao wanaweza kusikia harufu ya Udi maana sio sumu wakipaniki kwakua washakua waoga wanapigwa zao 3 Hadi 4

Subiri nikukumbushe kutu mwaka 2003 wakati Enyimba yupo makundi na Simba timu zilikua zinalalamika wakienda katika uwanja wa Enyimba znasema uwanja mbaya na unajazwa maji hata siku mvua hazinyeshi lakini watu walicheza uwanja wao huo huo Hadi wakawa mabingwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Afu hili lijamaa limekomalia kwel utafikil ndo liliwekewa sum
 
  • Thanks
Reactions: Tui
As vita saiz wana focus kwenye matches zao za lig huko Congo AF vyura wakifungwa kwenye lig ya bongo wanaanza kulauma mara simba ana viporo ving anabebwa hinguv ungeitumia kutoa maon ya jinsi ya kuimalisha bukuri la michango ya yanga
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Back
Top Bottom