Caf page: wasipo post goli la Sacko wanapost Mautundu ya Sacko!

Imekuwa na influence kubwa sana, hasa ukizingatia ni team ambayo imeoneka kufanya makubwa tofauti na ilivyotarajiwa wakati inaingia huko mara ya kwanza baada ya kipindi kirefu kupita.

NB; Ikumbukwe vilabu vya Tz vilioneka vya hovyo kutokana na performance ya wale wenzetu waliokuwa wanapigwa goli nyingi kila wakienda.
 
Kama Simba inayoshika nafasi ya pili kwenye ligi ipo hivyo, Je wakiiona Yanga inayoongoza ligi si hawatamini macho yao?. Wasubiri kuona mitetemo ya Mayele msimu ujao.
 
Kama Simba inayoshika nafasi ya pili kwenye ligi ipo hivyo, Je wakiiona Yanga inayoongoza ligi si hawatamini macho yao?. Wasubiri kuona mitetemo ya Mayele msimu ujao.
Mkuu Mbona unatuchanganyia HabarI ? Unaweka nzi wa kijani kwenye maziwa fresh? Siyo tabia njema. Watu wanapokuwa wanajadili mambo ya Maana msilete masihala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…