Action and Reaction
JF-Expert Member
- Oct 16, 2021
- 1,438
- 1,496
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Caf imejaa ma franco phoneSacko ni lulu yenye thamani kubwa sana.... Kwahiyo Mayele kule Caf hajulikani et!
HahaaaaaWale jamaa wameshagundua wakipost Simba page inakuwa na amsha amsha balaa. Wakipost timu zingine page inapoza. Nadhani hata wao wanatamani Simba isitoke kwenye mashindano.
Manara kajifisha wapi jamaniiView attachment 2192581
View attachment 2192582
Jana kutwa wanapost Simba. Sisi utopwolo tunaumia sana😥😥😥
Hahaaaaa
Hii kweli kabisa
70% ya followers ni wabongogo
uto wanatukana sana kwenye page ya CAFAdmini wa page ya caf ni kolo tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Haya tutawaona mwakani!Kama Simba inayoshika nafasi ya pili kwenye ligi ipo hivyo, Je wakiiona Yanga inayoongoza ligi si hawatamini macho yao?. Wasubiri kuona mavitu ya Mayele msimu ujao.
Mkuu Mbona unatuchanganyia HabarI ? Unaweka nzi wa kijani kwenye maziwa fresh? Siyo tabia njema. Watu wanapokuwa wanajadili mambo ya Maana msilete masihala.Kama Simba inayoshika nafasi ya pili kwenye ligi ipo hivyo, Je wakiiona Yanga inayoongoza ligi si hawatamini macho yao?. Wasubiri kuona mitetemo ya Mayele msimu ujao.
Uto buana! wananifurahishagaUto hawachelewi kusema tumemhonga admin