CAF Ranking mpyaaaa, Simba Sc kama kawaida

Sisi mikia tunashukuru sana mapaka yetu meusi,bila paka sisi hatuwezi lolote, thanks black cat
 
Baada ya kukalia kitu kizito kule zenji naona ute mnatafufa kila namna kujifariji,ule mchezo ambao hamkupata hata on target hata moja bado unawatesa sana mikia
Kitengo cha takwimu cha FIFA Leo kimetoa orodha ya teams 400 bora duniani,kajiangalieni kama mpo halafu mu Wa contact FIFA kuhusu shots on target za mapinduzi cup
 
ok ndugu zangu kwanza kwa wajuaji wasiojua angali hii list hapa unaona kwamba aly alhly 2017 alikuwa na points 5(times 1=5)2018 points 5(times 2=10)2019 points 3(times 3=9)2020 points 6 times 4=24)msimu huu unaoendelea points 1(times 5=5) jumla 53
simba 2017 points 0,2018 points 0.2019 points 3(times 3=9)2019 points 0. msiumu huu unaoendelea point 1(times 5=5)jumla 14
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…