CAF Ranking mpyaaaa, Simba Sc kama kawaida

CAF Ranking mpyaaaa, Simba Sc kama kawaida

Jamani caf hawaangalii historia eti tulichukua kombe 1995 basi iwe sababu ya kukaa juu.search Google kitu kinaitwa Caf five years ranking system
 
Kaizer chief miaka mingi hata ku qualify tu kwenye klabu bingwa wanachemka wamejikongoja mwaka huu. Point unapata unapoingia champions league. Kila atua unayosonga point zinaongezeka
Hizi rank nizakujifurahisha For mahia iwe juu yae Kaizer chiefs?
 
Asante sana Simba kwa kutuweka watanzania kwenye ramani ya soka ngazi ya vilabu Africa,Mungu azidi kuwa na nyinyi na kuwapa zaidi ya hapo
 
Kaizer chief miaka mingi hata ku qualify tu kwenye klabu bingwa wanachemka wamejikongoja mwaka huu. Point unapata unapoingia champions league. Kila atua unayosonga point zinaongezeka
unazungumza na utopolo,anajua kila kitu ila ni roho mbaya tu
 
Hizi rank nizakujifurahisha For mahia iwe juu yae Kaizer chiefs?
wakati unashangaa search top 400 clubs in the world,list imetoka Leo halafu search caf 5 year ranking system, for mahia tangu 2017 hawakosekani hatua ya makundi Kaiser chiefs wana miaka karibu kumi hawajaingia group stages wameingia juzi au mnataka wenye pesa wawe juu
 
Nakazia Yani Difa el Jadidi kazidiawa na KCCA?

Namuona hapo Rayon Sports Sasa Rayon na Yanga wapi na wapi?

Mwenye namba za fifa awapigie awaambie ukweli.
uto poleni sana hao difaa Kwa miaka mitano wamefanya nini,mnajua points Inavyopatkana,FIFA Leo wametoa teams bora 400 duniani kaxhungulie list ila tayarisha leso ya kufutia machozi kabisa
 
wakati unashangaa search top 400 clubs in the world,list imetoka Leo halafu search caf 5 year ranking system, for mahia tangu 2017 hawakosekani hatua ya makundi Kaiser chiefs wana miaka karibu kumi hawajaingia group stages wameingia juzi au mnataka wenye pesa wawe juu
Sio miaka kumi, hawakuwahi kuingia. Hii ndio mala yao ya kwanza
 
Baada ya kukalia kitu kizito kule zenji naona ute mnatafufa kila namna kujifariji,ule mchezo ambao hamkupata hata on target hata moja bado unawatesa sana mikia
 
Nakazia Yani Difa el Jadidi kazidiawa na KCCA?

Namuona hapo Rayon Sports Sasa Rayon na Yanga wapi na wapi?

Mwenye namba za fifa awapigie awaambie ukweli.
Nikumbushe ni lini hao Difa jadid waliqualify Africa champions league nikukumbushe mala ngapi KCCA wameshiliki. Sasa hapo wanaongelea five years ranking Rayon wamepeleka timu champions league mala zote. Yanga alipeleka mwaka gani ndani ya miaka mitano.
 
Back
Top Bottom