CAF Ranks: Timu ya Simba ya 13, Namungo ya 59 na Yanga ya 74

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
mambo ni faya fire fireeee mootoooooo..ewaaaahhhhhhhhh kings of East africa wanakamata nafasi ya 13 huku vijana wa waziri mkuu wa awamu YA TANO asiyejulikana kama atarudi madarakani wakiwa nafasi ya 59 na deportivo la utoPolo kama kawaida yao wako nafasi ya 74


 
13 vs 74

Tuwe fair jameni, hivi ni haki kweli hizi timu 2 kucheza kwenye ligi moja?

Ninaanza kuelewa kwanini timu kama Bayern, PSG, Real, City zinataka kuanzisha ligi yao wenyewe wacheze wao kwa wao tu.
Yaani ligi anayocheza Sarpong na Ditram Nchimbi eti ndio ligi hiyo hiyo anayocheza Miqussoine na Chama.

This is typically unfair.
 
Lakini mbona nyie ni wanyonge wetu kila tukutanapo?basi hapo Yanga lazima tuwe wa 12
 
Cha ajabu ni kuwa, timu zote alizopangwa nazo Simba SC ni hatari na karibuni zote ziko juu, ila kwenye kundi Mnyama ndio anaongoza!.
Basi Yanga watasema CAF inawabeba Simba SC na Namungo FC
 
Mbona siwaoni Azam fc?? Sasa yule msemaji wao Zaka za kazi aache kelele kwamba Simba na yanga zinabebwa. Mpira ni uwekezaji, wasajili wachezaji wa viwango vya juu.

Hata huo uwanja wao CAF waliuondoa kwa namungo kuutumia. Sasa wajitathmini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…