CAF Referee training ipo Tanzania. Ila marefa wa Tanzania hawataki kwenda

Danielmwasi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2021
Posts
2,134
Reaction score
3,834
IMG_1806.jpeg
 
Kwanza taarifa ina makosa, haina mda sahihi iliyotelewa wala mda sahihi wa mafunzo hayo kufanyika
Hii ni taarifa ya kwamba course inaendelea au taarifa kwamba course inataka kuanza!??
 
Tatizo la course ya referees ni lugha...

Kuna kozi zinataka ujue lugha 3, yaani English, France na Portuguese...

Ila hii ya VAR kina Aragija wameenda..
 
Kama karia na bodi ya Ligi Wana wapenda Heri Sasi na Tatu Malogo ilo ndio eneo la kuwa peleka kuwa noa.
 
penalty ya prison. huyu refa atakuwa kuwa kwenye mafunzo
 
Back
Top Bottom