CAF super cup, Final, sio ya kukosa!

CAF super cup, Final, sio ya kukosa!

Kamanda, hawa ni Raja Casablanca....na wale waliofuzu club bingwa afrika ni Wydad Casablanca

kama unamkumbuka Star wa Morocco, Mustafa Hadji ashawahi kukipiga Raja...

CC;Mussolin5
maana yangu ni kuwa wydad anaongoza ligi ya morroco ana 48pts af huyo raja hamkalibii hata kidogo ana point 31 na viporo 3 hivo bora tu deal na mazembe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee nimeangalia marudio hakika lilikuwa Bonge la game wenzetu Africa kaskazini wako mbali hasa hawa Raja Casablanca watu hatari sana wanampira fulani wa burudani wanakimbiza, wana nguvu wanapiga mashuti nahisi sasa timu zetu ukanda wa East Africa wapambane kujipima na hawa wababe wa kaskazini kupata exposure

Ila wameshatolewa kwenye mashindano ya CAF ya msimu huu Simba na Gor bado wapo, Ila una point

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh! Ina maana ndani ya hili bara wenye mpira ni waarabu?

Yeah, wametuzidi mbali sana, mpira wao unafanana kidogo na wa-ulaya.

All in All tujivunie kuwa na tim nzuri ndani ya bara letu...

Wydad Casablanca
Tp Mazembe
Esperance de Tunis
Raja Casablanca
Vita club
Al ahly
Zamaleki
Simba 🤣🤣🤣 n.k
 
Back
Top Bottom