njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Muundo wa CAF super league huu hapa wajameni, Southern and Eastern Africa zinaingiza timu 8 na kila nchi isitoe zaidi ya 3 ila inategemea klabu ina ubora gani kwenye rankings za CAF siyo kwa maneno maneeeenooo
Kwa haraka haraka Kusini na Mashariki mwa Afrika TOP 8 TEAMS
Mamelodi(6), Orlando(10), Petro de Luanda(12), Simba(14), Kaizer Chiefs (18), Amazulu(28), Zanaco (33), Nkana (34)
Wanaofuatia ni Zesco (37). Jwaneng (41), Gor Mahia (41), FC Platinum (41), Namungo (56), Napsa (56), KCCA (56), Bidvest wits(66) - hii team nafikiri ilibadilishwa jina baada ya kuuzwa), Mbabane Swallows (70), Township Rollers (70), UD Songo (70), Young Africans utopolo (75)
Inasemekana kuna issue ya hizo clubs kuchangia kiasi kikubwa cha pesa kama kiingilio na kwa kuangalia harakaharaka hapo kwenye top 8 teams ambayo inaweza kosa pesa ya ushiriki ni Nkana labda na Zanaco, sasa hapo zinabaki nafasi mbili za kujazia waanzie Zesco hadi UD Songo wakikosa hela ndipo utopolo waweze kuingia
***Amazulu hawezi ingia sababu kwenye nchi yake tayari kuna teams 3..which means Zesco anaingia top 8, Zanaco na Zesco wana uwezo wa kipesa ni mashirika makubwa zambia ila nNkana sijui kama wataweza lipa hapo jwaneng anaingia kiulaini