CAF Team of the Week: Simba Sc waingiza watano

Sio kweli, simba imepata mafanikio makubwa kwa muda mfupi.. enyimba alishiriki caf mara yake ya kwanza alitolewa round ya kwanza.. msimu wa pili wake alioshiriki mara yake ya pili akaenda twaa ubingwa kabisa, na alivyorudi kushiriki msimu wa 3 akatwaa ubingwa tena..

Sasa huo muda mfupi wa simba ni upi ?
 
Simba haiwezi kuchukua ubingwa wakiwa na wachezaji wenye wastani wa miaka 40, Ila kwakua viongozi na baadhi ya mashabiki ni ma Mbumbumbu watendelea kuamini Bado kidogo watacheza nusu fainali ya Afrika, awajui umri wa ao wachezaji unazidi kuongezeka.
 
wakati unafikiria hayo kuna wengine watakuwa wanafikiria kuunda kamati ya mapokezi kwenda kupokea hao wageni airport na kununua jezi zao,umeshahu waliishangilia tunisia ilipocheza n ataifa stars wakidai kwa nini kuna wachezaji wengi wa simba? wakidai yassin mustapha ni bora kuliko zimbwe jr?
 
nafikiri tunahitaji kiungo mkabaji mmmoja mwenye uwezo wa kucheza nne na tano,na beki mmoja mwenye uwezo wa kucheza namba mbili na tatu anayetumia miguu yote, na striker mmoja mkali labda na kipa mkali wa kitanzania imetosha hapo
 
Simba haiwezi kuchukua ubingwa wakiwa na wachezaji wenye wastani wa miaka 40, Ila kwakua viongozi na baadhi ya mashabiki ni ma Mbumbumbu watendelea kuamini Bado kidogo watacheza nusu fainali ya Afrika, awajui umri wa ao wachezaji unazidi kuongezeka.
ni jambo jema hata wewe unatoa kasoro hizo na unaongelea suala la ubingwa wa afrika vipi mnaedeleaje huko vyurani?ubingwa wenu wa afrika mnachukua lini? nenda kaulize tanga uambiwe mwamnyeto ana miaka mingapi , ya ukweli siyo hiyo 26 anayodanganya hapo
 
Simba haiwezi kuchukua ubingwa wakiwa na wachezaji wenye wastani wa miaka 40, Ila kwakua viongozi na baadhi ya mashabiki ni ma Mbumbumbu watendelea kuamini Bado kidogo watacheza nusu fainali ya Afrika, awajui umri wa ao wachezaji unazidi kuongezeka.
Walikuwapo vijana hapo Simba, hata hatua ya makundi ilikuwa ni ndoto kuicheza. Lakini hata Yanga wana akina Fei Toto na Sarpong, hawa ni vijana. Wao hata kupata tiketi ya kucheza CAF competition ndani ya nchi ni shida. Kikubwa ni uwezo wa mchezaji
 
mwambie pia hao vijana wa Yanga hawachukua kombe huu msimu wa 4. Wazee wa Simba wamebeba makombe misimu minne na wamepeleka timu robo mara mbili
 
Simba haiwezi kuchukua ubingwa wakiwa na wachezaji wenye wastani wa miaka 40, Ila kwakua viongozi na baadhi ya mashabiki ni ma Mbumbumbu watendelea kuamini Bado kidogo watacheza nusu fainali ya Afrika, awajui umri wa ao wachezaji unazidi kuongezeka.
Mwaka ujao Utopolo mtashiriki mkiwa na wachezaji wenye wastani wa miaka 19....karma is a bitch!
 
Sio kweli nini mtoto, Simba imepata mafanikio sasa Afrika nzima inatambua kwa Mkapa ni machinjioni, ubingwa ni step by step, hao Enyimba hawakukutana na challenge wanayo face Simba ndio maana, enzi hizo timu nyingi zilikuwa njaa kali.
 
Caf ya sasa hivi rahisi kuliko ya zamani.. zamani kufika group stage tu ilikuwa uwe mwanaume kweli kweli.... maana group stage zilikuwa zinaingia timu 8 tu.. siku hizi group stage zinaingia timu 16..

Enyimba waliwekeza hela nyingii sana kutwaa ubingwa wa caf haraka haraka. Walijenga hadi uwanja wa gharama kuliko hata wa mazembe ama azam... enzi hizo waarabu kina zamalek, al ahly, esperence, es setif, waydad, raja casablanca walikuwa wa moto kweli kweli, huku kwa weusi kuna asec mimosas, mazembe,canon yaunde, asante kotoko etc, hapo jiulize makundi tu unafikaje katika nafasi 8 tu, na hapo hapo ukatwae ubingwa kabisa

Zama hizi hakuna wachezaji wa kiwango kama zamani kwa timu za africa zinazocheza caf maana ulaya wanaenda mapema , mfano aboutrika, zaki, enyeama, toure, etc etc walikuwa wana uwezo mkubwa sana na wanacheza caf na timu zao huku wana viwango vya ulaya tupu

Caf wamefanya mabadiliko mengi kwenye mashindano yao yote. Yamekuwa mepesi ndio maana hata Tanzania tunafuzu kucheza afcon zama hizi.... zamani wewe ulisikia wapi nchi kama Tanzania ama kenya na burundi zinafuzu afcon.

Kwanza hata kwa zama hizi horoya ana mafanikio ya haraka kuliko simba .. na horoya hawajawekeza hela nyingi kama simba .ila horoya anafika mbali kuliko simba karibu kila msimu
 
Tusije rudia kosa la mwaka juzi.
Tunahitaji wachezaji wapya wasiozidi wawili. Beki mmoja kisiki. Sriker mmoja mfungaji.
 
"CAF wamefanya mabadiliko mengi ndio maana hata timu za Tanzania zimepata nafasi"

Hiyo quote hapo juu inaonesha huziamini timu za Tanzania, umekariri miaka yote Tanzania ni wa kuburuzwa tu, umefeli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…