CAF Team of the Week: Simba Sc waingiza watano

Wafuasi wa manara wana akili basi?
 
Horoya hawajaweleza hela nyingi nani kakudanganya

Misimu mitatu iliyopita Horoya na Simba wameshiriki mara 2 Simba ameenda robo fainali mara 2 horoya mara 1
 
Horoya hawajaweleza hela nyingi nani kakudanganya

Misimu mitatu iliyopita Horoya na Simba wameshiriki mara 2 Simba ameenda robo fainali mara 2 horoya mara 1

Kwa horoya Mbona umechagua misimu mitatu tu, hujachagua minne ama mitano iliyopita.. kwa enyimba pia mbona hujaongea chochote, weka bajet ya simba kwa mwaka ambazo mo anatumia , weka na bajet ya horoya pia?

Mo simba hajakaa misimu mitatu tu, weka misimu yote toka mo ameanza kuwekeza simba kama mo, kisha weka na ya horoya. Tupime mafanikio yao kwenye caf competitions... acha kuchagua misimu mitatu tu..

Horoya hana hata misimu 10 toka ameanza kushiriki champions league na hawajawekeza hela kama simba..

Nimekuwekea screen shot ya horoya.. na msimu huu ambao haujawekwa kwenye wikipedia ya horoya.. wamefika hatua ya makundi... haya weka ya simba misimu hata mitano tu

 
Simba haiwezi kuchukua ubingwa wakiwa na wachezaji wenye wastani wa miaka 40, Ila kwakua viongozi na baadhi ya mashabiki ni ma Mbumbumbu watendelea kuamini Bado kidogo watacheza nusu fainali ya Afrika, awajui umri wa ao wachezaji unazidi kuongezeka.
Akili yao inaiashia Mwembechai.
 
Kenya ilifuzu mwaka 1992 na 2004 mkuu
 
Horoya amefika mbali zaidi ya Simba msimu upi ?

Horoya kavuka kwenda robo fainali mara ngapi ?

Hivi unajua karibu kikosi kizima cha Horoya wanacheza national teams zao ?
 
Horoya amefika mbali zaidi ya Simba msimu upi ?

Horoya kavuka kwenda robo fainali mara ngapi ?

Hivi unajua karibu kikosi kizima cha Horoya wanacheza national teams zao ?

Kabla hujauliza horoya kavuka robo mara ngapi jiulize Simba kavuka robo fainali mara ngapi pia?

Weka mafanikio ya simba misimu minne (4) iliyopita toka mo ameanza kuwekeza simba kisha uweke na ya horoya kwenye mashindano ya caf tujue nani anamzidi mwenzake..

Weka tushindanishe simba vs horoya amefika robo mara ngapi

Na weka tushindanishe simba vs horoya kafika makundi mara ngapi..

Weka tushindanjshe pia simba vs horoya kafika 2nd round mara ngapi

Weka tushinanishe 4 season za simba wakiwa na mo dewji na 4 season za horoya
 
Mbona hujaweka sasa hizo takwimu za Horoya ?
 
Mbona hujaweka sasa hizo takwimu za Horoya ?

Horoya in last 4 season.

Kafika robo fainali mara mbili

Kafika hatua ya makundi mara moja

Na kafika second round mara moja..

Naomba na wewe uweke takwimu za simba

Hiyo ni ya caf champions league . Sijaweka ya confederations cup maana horoya baada ya kutolewa second round alipelekwa confederations cup na akafika mbali pia..

Weka ya simba sasa last 4 seasons za simba ya kisasa chini ya tajiri mo
 
Alifika wapi ?

Horoya Kafika Quaterfinals mara mbili katika hiyo misimu 4 sawa na simba ambaye nae alifika Quarterfinals mara mbili.

Tofauti ni ipi hapo ?
 
Alifika wapi ?

Horoya Kafika Quaterfinals mara mbili katika hiyo misimu 4 sawa na simba ambaye nae alifika Quarterfinals mara mbili.

Tofauti ni ipi hapo ?

Simba kafika makundi pia mara ngapi na second round mara ngapi ndani ya hiyo misimu minne. Ili tuseme yuko sawa na horoya? Ama kufika makundi sio kufika mbali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…