CAF: The final shall be played in two matches, home and away

CAF: The final shall be played in two matches, home and away

enzo1988

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2018
Posts
1,838
Reaction score
7,346
Siyo mbaya kwani anayejua anajua tu na hakuna cha nyumbani wala ugenini, ingawaje kiafrika wa nyumbani ana faida kuliko mgeni. Ni barua ya mwaka jana, hakuna kulalamika.

“The final shall be played in two matches, home and away. The team which will have scored the highest aggregate number of goals in the two matches will be declared winner.

This decision shall be implemented on the above-mentioned competitions starting from the upcoming season 2022/23.

Source: Caf
 
Attachments

Ndio utaratibu wa tokea zamani huo, sema tu misimu mitatu iliyopita ndio wakajaribu kuweka mechi moja tu, wameona changamoto zake wakarudisha mfumo wao ule ule wa zamani wa home and away kwenye fainali
 
Hii kimapato Kwa Africa imekaa poa Sana, imagine yanga na Alger's wakachezee fainal Namibia bila Shaka uwanja utakuwa mtupu, mashabiki wa kiafrika ni nadra kuifata timu ikiwa ugenini
2010 kwenye WC, baada ya Bafana Bafana kutolewa, viwanja vikawa vitupu mpk FIFA ikaagiza SAFA wawachukue watoto wa Shule waingie viwanjani bure
 
sawa lakini final inapendeza zaidi ikiwa ni ya mchezo mmoja
Kwa situation ya Africa inakuwa ngumu kidogo, fainal mechi mbili nayo imekaa poa tu, world cup kuanzia group Hadi fainal ni mechi moja lkn ishazoeleka na Maisha yanaendelea lkn uefa kuanzia stage mpaka nusu fainal mechi mbili nayo ishazoeleka na Maisha yanaendelea so na hii Kwa Africa let be itazoeleka na Maisha yataendelea
 
nna amini itabadilika tu ni ishu ya muda
 
Tokea zamani mfumo ulikuwa hivyo wa mechi mbili finali. Ila msimu wa 2019/2020 ndio wakabadilisha wakaweka fainali mechi moja tu.
Embu waambie hao wenzio. Mlipokuwa mnakumbushwa fainali ya Simba ya 1993, mkaleta kejeli ooh kombe la Abiola, sasa hivi wanashangaa fainali kuwa mechi mbili. Ujinga ni gharama sana.
 
Embu waambie hao wenzio. Mlipokuwa mnakumbushwa fainali ya Simba ya 1993, mkaleta kejeli ooh kombe la Abiola, sasa hivi wanashangaa fainali kuwa mechi mbili. Ujinga ni gharama sana.
Wenzangu wakina nani? Usimba na uyanga umekutawala kichwani kiasi kwamba kila anayeandika unaanza kumjaji kwa mlengo wa upande fulani..
 
Back
Top Bottom