Kwa mazingira ya kiafrika uko Sawa na poa Sana Mie nausapoti tutabidiri tukifika level za ulayahuu utaratibu ufutwe kabisa
2010 kwenye WC, baada ya Bafana Bafana kutolewa, viwanja vikawa vitupu mpk FIFA ikaagiza SAFA wawachukue watoto wa Shule waingie viwanjani bureHii kimapato Kwa Africa imekaa poa Sana, imagine yanga na Alger's wakachezee fainal Namibia bila Shaka uwanja utakuwa mtupu, mashabiki wa kiafrika ni nadra kuifata timu ikiwa ugenini
sawa lakini final inapendeza zaidi ikiwa ni ya mchezo mmojaKwa mazingira ya kiafrika uko Sawa na poa Sana Mie nausapoti tutabidiri tukifika level za ulaya
Kwa situation ya Africa inakuwa ngumu kidogo, fainal mechi mbili nayo imekaa poa tu, world cup kuanzia group Hadi fainal ni mechi moja lkn ishazoeleka na Maisha yanaendelea lkn uefa kuanzia stage mpaka nusu fainal mechi mbili nayo ishazoeleka na Maisha yanaendelea so na hii Kwa Africa let be itazoeleka na Maisha yataendeleasawa lakini final inapendeza zaidi ikiwa ni ya mchezo mmoja
nna amini itabadilika tu ni ishu ya mudaKwa situation ya Africa inakuwa ngumu kidogo, fainal mechi mbili nayo imekaa poa tu, world cup kuanzia group Hadi fainal ni mechi moja lkn ishazoeleka na Maisha yanaendelea lkn uefa kuanzia stage mpaka nusu fainal mechi mbili nayo ishazoeleka na Maisha yanaendelea so na hii Kwa Africa let be itazoeleka na Maisha yataendelea
Tokea zamani mfumo ulikuwa hivyo wa mechi mbili finali. Ila msimu wa 2019/2020 ndio wakabadilisha wakaweka fainali mechi moja tu.Fainali mechi 2????
Embu waambie hao wenzio. Mlipokuwa mnakumbushwa fainali ya Simba ya 1993, mkaleta kejeli ooh kombe la Abiola, sasa hivi wanashangaa fainali kuwa mechi mbili. Ujinga ni gharama sana.Tokea zamani mfumo ulikuwa hivyo wa mechi mbili finali. Ila msimu wa 2019/2020 ndio wakabadilisha wakaweka fainali mechi moja tu.
Ujinga ni gharama wakati wewe pia unao?Embu waambie hao wenzio. Mlipokuwa mnakumbushwa fainali ya Simba ya 1993, mkaleta kejeli ooh kombe la Abiola, sasa hivi wanashangaa fainali kuwa mechi mbili. Ujinga ni gharama sana.
Wenzangu wakina nani? Usimba na uyanga umekutawala kichwani kiasi kwamba kila anayeandika unaanza kumjaji kwa mlengo wa upande fulani..Embu waambie hao wenzio. Mlipokuwa mnakumbushwa fainali ya Simba ya 1993, mkaleta kejeli ooh kombe la Abiola, sasa hivi wanashangaa fainali kuwa mechi mbili. Ujinga ni gharama sana.
Kila mtu ana asilimia fulani ya ujinga ila haiondoi ukweli kwamba ujinga hasa huo mnaoundekeza nyie ni gharama na unawadhalilisha maana mmegoma kujifunza.Ujinga ni gharama wakati wewe pia unao?
Hao ni uto wenzio usiwakane ndugu zakoWenzangu wakina nani? Usimba na uyanga umekutawala kichwani kiasi kwamba kila anayeandika unaanza kumjaji kwa mlengo wa upande fulani..