CAF: The final shall be played in two matches, home and away

Ndio utaratibu wa tokea zamani huo, semu tu msimu iliyopita ndio wakajaribu kuweka mechi moja tu, wameona changamoto zake wakarusisha mfumo wao ule ule wa zamani wa home and away kwenye fainali
changamoto zilikua nn?
 
Utaratibu wa kipuuzi sana huu!
 
Utaratibu wa hovyo kabisa huo uliona wapi fainal zinakua mbili Nchi ingine zinachezwa dk 90 Nchi nyingine zinaongezwa mpaka dk wakati Afrika viwanja vipo vingi tuu...
 
Utaratibu wa hovyo kabisa huo uliona wapi fainal zinakua mbili Nchi ingine zinachezwa dk 90 Nchi nyingine zinaongezwa mpaka dk wakati Afrika viwanja vipo vingi tuu...
Tatizo sio uchache wa viwanja bali uwezo wa mashabiki kusafiri kwenda kuhudhuria fainali kwenye nchi tofauti.
 
Hakuna ajabu. Linaajabiwa kwa sababu linafanywa na waafrika huku likiajabiwa na waafrika wenyewe.
Kwa mazingira yetu ya kimaskini wacha tu lichezwe home na away. Hatuna utamaduni wa kwenda na kujaa viwanjani, pili hatuna uchumi wa kuwezesha mamia ya watu kusafiri kwenda kutazama fainali kwenye neutral ground.
 
Mi nahisi MOJA YA sbb ni figisu hasa waarabu, kwahio kila timu iwe na advantage ya nyumbani.
 
Figisu za waarabu,,,watachofanya watasema timu za uarabuni zianzie ugenini then wanaenda kufanya fitina uwanja wa nyumbn
 
Figisu za waarabu,,,watachofanya watasema timu za uarabuni zianzie ugenini then wanaenda kufanya fitina uwanja wa nyumbn
Niliona sehemu kama vile ratiba ishatoka na Yanga wataanzia ugenini
 
Kuna kundi la mashabiki wa timu flani wanaogopa kucheza final mechi mbili sababu wanazo wao nisiwasemee bahati mbaya hata hiyo final hawatafika...
 
Hawakuangalia nchi ya Tanzania bali wameangalia bara la Africa kwa ujumla.
Hakuna kitu kama hicho wale walikurupuka baada ya Al Ahly kulalamika kuwa mashindano yalipangwa yafanyike uwanja wa Wydady kabla na baadae Wydady akafika fainal na kucheza na Al Ahly ikaonekana hiyo mechi imewabeba Wydady wakicheza nyumbani ndio maana Rais wa CAF akarudisha iwe kama zamani mechi mbili ugenini na nyumbani sema alisahau kuwa hata UEFA pia huwa inatokea Timu inayoshiriki ligi kufika fainal na kucheza kwenye uwanja uliopangwa kabla tumeona Man u vs Barcelona, Real Madrid hata Bayern wakicheza na Chelsea Ujerumani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…