CAF wairuhusu Simba SC kuutumia Uwanja wa Benjamin Mkapa michezo ya Robo Fainali Kombe la Shirikisho Afrika

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limetoa ruhusa kwa uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam, kutumika kwa michezo ya robo fainali na nusu fainali za Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF CL) na Kombe la Shirikisho Afrika (CAF CC) kwa msimu wa 2024/2025.

1743156181587.png
Ruhusa hii imekuja baada ya ukaguzi wa kina uliofanywa na wakaguzi wa CAF hivi karibuni, ambapo uwanja huo umeonekana kuzingatia viwango vya kimataifa vya michezo. Hata hivyo, CAF itaendelea kufuatilia kwa karibu maboresho yanayoendelea kwenye uwanja huo kuhakikisha unakidhi matakwa ya michuano hiyo mikubwa.

1743155903570.png
​
 
Hiyo taarifa ina utata. Inaonyesha maamuzi ya huo uwanja kuruhusiwa kutumika hatua ya fainali yamewekwa pembeni kwanza.

Inabidi Simba ilisimamie vizuri hili suala badala ya kuwaachia tu Wizara na TFF, isije kujikuta inacheza fainali yake Malawi.
 
Back
Top Bottom