Caf wajisogeza kwa simba

Caf wajisogeza kwa simba

Braza hao masela sijawahi kuwasikia nanjilinji miaka 10 sasa tangu naanza kulima ufuta huku,labda unasema chivirikiti au mmwiti huko.
Aisee
Watu mnamaneno jamani
Eti Chivirikiti au Mwiti...[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Nani asiyeipenda simba ukiachana na wavuta bangi ?
Nenda kwa wanalamba lamba watakwambia simba baba lao
wanajeshi wa mpakani huwaambii kitu kwa mnyama

Sasa Caf wameanza kuisogelea simba
washajua simba ina mashabiki wengi sana
Na mpira unahitaji mashabiki tena mashabiki lia lia
Hivyo wameamua kukaa karibu nao wanajua ukitaka comment nyingi kwenye page zao za mitandao ya kijamii wanaiongelea simba

Uzuri wake simba haiongelewi kwa mabaya kama wachavuzi wa huku bongo hivyo wanapata wanachokitaka

Kuanzia sasa nakuendelea huwezi kukuta timu ngumu ikikutana na simba kwenye hatua za mwanzo

Mpira una fitina nje ya uwanja

wanajua mashabiki wakiruhusiwa wana uhakika wa mashabiki elfu sitini mechi tano hadi saba kila msimu

wanataka nn zaidi ya hela na simba ni hela

Usishangae kuona wachezaji wa simba katika kurasa za caf kila wanapotimiza miaka kadhaa

Ila kamwe hautakuta wadaka mishale wakiwa katika kurasa zao
wanakwambia kama anadaka mishale akapigane na Jumong huko

View attachment 1937053
Hahahaaaha!!!daah!mmecheka sana wakapigane na jumong!!!
 
Back
Top Bottom