CAF wakaza, Fainali ya pili kupigwa New Amaan Complex, Zanzibar Saa 10 Jioni

CAF wakaza, Fainali ya pili kupigwa New Amaan Complex, Zanzibar Saa 10 Jioni

Anazijuq akili za makolo, kawachezea shere aonekana alipambana na hana baya huku akijua fika hana uwezo wa kubadilisha kilichoamuliwa.

Na kolokwinyo wakaamini kua pira litapigwa taifa.
Kwa hiyo kanjibai dewji kama kawaida amezira hatahudhuria mechi zenji 😆😆😆😆
 
Sasa napata picha ya kwa nini serikali ya China ilimnyonga aliyetengeneza uwanja wa mkapa. Tulipigwa tena. Uwanja ovyo na marekebisho yake ni zaidi ya kutengeneza uwanja mwingine wa aina hiyo. Tanzania ni shamba la Bibi kabisa.
 
Mlivoenda Zanzibar mara ya kwanza sababu ilikuwa nn
marekebisho ya uwanja yalikuwa yanaendelea na sasa uwanja umekamilika
sasa toa sababu ya.kupelekwa sasa hivi.kumbuka hyo ilikuwa kipindi chs nusu fainali
 
marekebisho ya uwanja yalikuwa yanaendelea na sasa uwanja umekamilika
sasa toa sababu ya.kupelekwa sasa hivi.kumbuka hyo ilikuwa kipindi chs nusu fainali
Wabongo bhana, et uwanja umekamilika 😂 Haya chezeni hapo kama umekamilika
 
Mamangu siyo malaya kama mamako!
Msifike huku wakuu. Tunaweza tukatukanana wenyewe matusi yote duniani hadi kujitungia mapya ila haina haja kuhusisha mama zetu ambao hawahusiki kabisa yaani.
 
Hakika ukionea watoto nawe utapata mbabe wako, karma huwa haiko mbali, Simba imeonea sana timu ndogo kwenye NBC premier league kupitia maamuzi mabovu ya marefa wanaoibeba kwa kisingizio cha kufanya makosa ya kibinadamu na timu zingine zimeshuka daraja, sasa na wao wamepata mbabe wao.

Ni wazi kuna ushawishi mkubwa wa Berkane mechi kuhamishiwa Zenji ili Berkane wabebe kombe lao bila vurugu. Ni wazi uwanja wa taifa kwa Nkapa Simba wangepeleka wazee wafupi na mbuzi kuuroga uwanja na kupuliza dawa za usingizi kwenye vyumba, Berkane wasingetoka, wangepigwa kumi!!

Kila mbabe nae ana mbabe wake, Simba wamepigwa za uso na Berkane na kuoneshwa kuwa bado ni underdog kwenye boli la CAF! Mechi itaisha Berkane 3 Simba 0 na Berkane watanyanyua makwapa!!
 
Back
Top Bottom