Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Sehemu ya watu kupiga hapo, kjna watu watakuwa sio mabilionea bali matrilionea na tuliwazarau na elimu zao za kutumia vyeti vya watu wengine.Uwanja wa Benjamin Mkapa uliopo Dar es Salaam umeondolewa katika orodha ya viwanja vilivyoidhinishwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kutokana na kuendelea kwa matengenezo makubwa yanayoandaliwa kuelekea AFCON 2027.
Hatua hiyo inamaanisha kuwa uwanja huo hautatumika kwa muda katika mashindano ya CAF hadi pale matengenezo yatakapokamilika.
Wakati huo huo, Uwanja wa Azam uliopo Chamazi umepewa idhini ya muda tu na CAF kwa ajili ya hatua za awali za mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League) na Kombe la Shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup) msimu wa 2026/27.
Wazungu ni wazungu tuLe stadium ukarabati.. kila siku matengenezo tu.
Marekani wanatumia viwanja vya rugby yao kuchezea world cup. Ila matengenezo ya kubadili rugby kwenda mpira wa miguu yamechukua miezi michache tu. Ila kwa mkapa sasa kupanda nyasi tu inachukua miaka kazaa
ππSehemu ya watu kupiga hapo, kjna watu watakuwa sio mabilionea bali matrilionea na tuliwazarau na elimu zao za kutumia vyeti vya watu wengine.
Vilabu vyetu vitaenda kucheza viwanja vya nchi jirani ya ZanzibarUwanja wa Benjamin Mkapa uliopo Dar es Salaam umeondolewa katika orodha ya viwanja vilivyoidhinishwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kutokana na kuendelea kwa matengenezo makubwa yanayoandaliwa kuelekea AFCON 2027.
Hatua hiyo inamaanisha kuwa uwanja huo hautatumika kwa muda katika mashindano ya CAF hadi pale matengenezo yatakapokamilika.
Wakati huo huo, Uwanja wa Azam uliopo Chamazi umepewa idhini ya muda tu na CAF kwa ajili ya hatua za awali za mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League) na Kombe la Shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup) msimu wa 2026/27.
Na zile pesaa walizotoaa za marekebishoo zimeenda wapii mbona mnatufanya mazuzu hiviiUwanja wa Benjamin Mkapa uliopo Dar es Salaam umeondolewa katika orodha ya viwanja vilivyoidhinishwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kutokana na kuendelea kwa matengenezo makubwa yanayoandaliwa kuelekea AFCON 2027.
Hatua hiyo inamaanisha kuwa uwanja huo hautatumika kwa muda katika mashindano ya CAF hadi pale matengenezo yatakapokamilika.
Wakati huo huo, Uwanja wa Azam uliopo Chamazi umepewa idhini ya muda tu na CAF kwa ajili ya hatua za awali za mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League) na Kombe la Shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup) msimu wa 2026/27.
Tanganyika nzima ina viwanja viwili tu vya kimataifa vya mpira.Le stadium ukarabati.. kila siku matengenezo tu.
Marekani wanatumia viwanja vya rugby yao kuchezea world cup. Ila matengenezo ya kubadili rugby kwenda mpira wa miguu yamechukua miezi michache tu. Ila kwa mkapa sasa kupanda nyasi tu inachukua miaka kazaa
Hahaha mweusi akili hanaLe stadium ukarabati.. kila siku matengenezo tu.
Marekani wanatumia viwanja vya rugby yao kuchezea world cup. Ila matengenezo ya kubadili rugby kwenda mpira wa miguu yamechukua miezi michache tu. Ila kwa mkapa sasa kupanda nyasi tu inachukua miaka kazaa
this is useless πHizo ni njama za Zanzibar