CAF wapost slogan ya miso misondo

CAF wapost slogan ya miso misondo

[emoji2957]Kumbe CAF wanetu kabisa Hawa yaani "We Simon Msuva umepigaje hapo [emoji16][emoji2957].

Hii ni Baada ya msuva kuruka soti ( kavu in nyakyusa) ya kwenda juu nyuzi 368°

Huyu admin wa CAF apewe maua yake .... Coz inaonekana anafuatilia trending za TZ

Mwaka Jana alipost slogan ya king kiba " Sisi ni people"View attachment 2879627
Admin ni Edo kumwembe anatokea namasakata tunduru!
 
Back
Top Bottom