Kawapa kibunda wachezajiMchango gani? Acha upuuzi wewe.
So far wamefanya nini mpaka SASA. Siasa zibaki siasa mpira ubaki mpira.
TECNO KG5J
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bora Zambia walivyotupelekea moto la sivyo leo ingekuwa nani kama mama. Hakuna kama Mama. Mama kaipa ushindi Taofa Stars.
Admin ni Edo kumwembe anatokea namasakata tunduru![emoji2957]Kumbe CAF wanetu kabisa Hawa yaani "We Simon Msuva umepigaje hapo [emoji16][emoji2957].
Hii ni Baada ya msuva kuruka soti ( kavu in nyakyusa) ya kwenda juu nyuzi 368°
Huyu admin wa CAF apewe maua yake .... Coz inaonekana anafuatilia trending za TZ
Mwaka Jana alipost slogan ya king kiba " Sisi ni people"View attachment 2879627
Bado tuwape mudaSo far wamefanya nini mpaka SASA. Siasa zibaki siasa mpira ubaki mpira.
Si kweliAdmin ni Edo kumwembe anatokea namasakata tunduru!
Manara angewaambia TABULELE, hana akili yuleAdmini wa CAF ni MANARA
Eng Ersi wa Yanga nasikia ndo adminAdmin wa CAF naona anaelewa mambo yanayotrend bongo