CAF wapunguze kuipost Yanga kuondoa husda

Jielezee , kama unaona kupqmbana na kina wydad ni kazi rahisi mbona upo shirikisho uko na wakati ulianza klabu bingwa😂😂
Mipango we, ulieachwa uendelee uko wapi
 
Yanga akibeba hiyo ndoo kuna watu watakimbizwa hospitali kwa maumivu ya moyo
 
Mipango we, ulieachwa uendelee uko wapi
ATa sevilla hua anajiposition kwenye europa kwa sababu ndo anapamudu. Na kashabeba ndoo kadhaa ila huwezi ona anabwekea wa champions league😁😁
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]YANGA WAJINGA WAJINGA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…