CAF wapunguze kuipost Yanga kuondoa husda

CAF wapunguze kuipost Yanga kuondoa husda

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
4,016
Reaction score
6,759
Moja kwa moja kwenye mada,
CAF inaonekana kuipost zaidi Young Africans kuliko klabu nyingine yeyote.

Kupitia ukurasa huu tuwaombe waruache kwani husuda za majirani zinazidi kuongezeka na sisi huku tunaishi kama ndugu.

Watajaa vilingeni hawa nchi nzima tusitoboe..
View attachment 2630578View attachment 2630577View attachment 2630579
Screenshot_20230521-210708.jpg
 
Jielezee , kama unaona kupqmbana na kina wydad ni kazi rahisi mbona upo shirikisho uko na wakati ulianza klabu bingwa😂😂
Mipango we, ulieachwa uendelee uko wapi
 
Mipango we, ulieachwa uendelee uko wapi
ATa sevilla hua anajiposition kwenye europa kwa sababu ndo anapamudu. Na kashabeba ndoo kadhaa ila huwezi ona anabwekea wa champions league😁😁
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]YANGA WAJINGA WAJINGA
 
Back
Top Bottom