GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mkuu Genta ukweli ndio huo. Wazee wa English language ndio wamesababisha yote haya. Just imagine hadi leo asubuhi bado hata paa la kasarani stadium halijakamilika. Lkn poa, Acha turudi kwrnye ligi yetuNiwalaumu mno CAF kwani kama Kenya (ambao nina uhakika ndiyo wamechelewa kuwa na Miundombinu inayotakiwa kwa Mashindano hayo ya CHAN) bado kwa kuokoa muda na kutoharibu Ratiba za Mataifa mengine (kama Tanzania na Uchaguzi Mkuu mwaka huu) wangeweza kuwapa Rwanda nafasi hiyo kwani tayari Rwanda ilishasema ipo tayari na bahati nzuri pia ni kwamba wana Viwanja Bora na Miundombinu ya uhakika kuliko Wakenya waliojaa Ushamba mwingi na Kutwa tu wanachokijua na Kujivunia nacho ni Kuzungumza Lugha ya Kigeni ya Kiingereza huku wakikidharau Kiswahili chetu bora ambacho pia huwa Wanakibananga / Wanakikosea mno.
Endeleeni kusifia kwamba kenya imeendelea,imetuacha mbaliNiwalaumu mno CAF kwani kama Kenya (ambao nina uhakika ndiyo wamechelewa kuwa na Miundombinu inayotakiwa kwa Mashindano hayo ya CHAN) bado kwa kuokoa muda na kutoharibu Ratiba za Mataifa mengine (kama Tanzania na Uchaguzi Mkuu mwaka huu) wangeweza kuwapa Rwanda nafasi hiyo kwani tayari Rwanda ilishasema ipo tayari na bahati nzuri pia ni kwamba wana Viwanja Bora na Miundombinu ya uhakika kuliko Wakenya waliojaa Ushamba mwingi na Kutwa tu wanachokijua na Kujivunia nacho ni Kuzungumza Lugha ya Kigeni ya Kiingereza huku wakikidharau Kiswahili chetu bora ambacho pia huwa Wanakibananga / Wanakikosea mno.
Timu za kaskazini mbona zimeomba kurudi,jana morocco walisitisha mazoezi ya chan dizaini walikua na za ndaaaniNahisi tatizo sio miundombinu Bali Kuna vuguvugu la timu za kasikazini kuipotezea hii michuano...
Hii inatokana na sababu za kisiasa hawamtaki msouth aendelee kua rais wa CAF so ni dizaini kama wanmoiga spana