GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Niwalaumu mno CAF kwani kama Kenya (ambao nina uhakika ndiyo wamechelewa kuwa na Miundombinu inayotakiwa kwa Mashindano hayo ya CHAN) bado kwa kuokoa muda na kutoharibu Ratiba za Mataifa mengine (kama Tanzania na Uchaguzi Mkuu mwaka huu) wangeweza kuwapa Rwanda nafasi hiyo kwani tayari Rwanda ilishasema ipo tayari na bahati nzuri pia ni kwamba wana Viwanja Bora na Miundombinu ya uhakika kuliko Wakenya waliojaa Ushamba mwingi na Kutwa tu wanachokijua na Kujivunia nacho ni Kuzungumza Lugha ya Kigeni ya Kiingereza huku wakikidharau Kiswahili chetu bora ambacho pia huwa Wanakibananga / Wanakikosea mno.