Ubaya Ubwela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 1,353
- 3,060
CAF wazuia uwanja wa Amaan Complex kutumika kwenye mchezo wa Yanga SC wa klabu bingwa barani Afrika.
"Moja kati ya vigezo vya uwanja sio tu sehemu ya kuchezea au ubora ila ni pamoja na umbali wa viti kutoka kimoja hadi kingine, kwa uwanja wa Amaan umekosa ivyo vigezo uwanja kama wa Azam Complex unakidhi vigezo kutokana na umbali wa viti ambao kwa vigezo vya CAF wanataka kuanzia sentimita 45. Azam walilazimika kupunguza idadi ya namba ya mashabiki kutoka elfu 6 hadi elfu 4 ili kukidhi vigezo vya CAF.
Kujipendekeza na Kusaka nafasi za Kisiasa kumeisha kwa Aibu, Mzee Magoma alishasema jamaa anapita utopoloni ili akagombee ubunge.
Unakurupuka tu na kusema tutatumia uwanja fulani bila kufanya tafiti.