CAF wazuia uwanja wa Amaan Complex kutumika kwenye mchezo wa Yanga SC wa klabu bingwa barani Afrika

CAF wazuia uwanja wa Amaan Complex kutumika kwenye mchezo wa Yanga sc wa klabu bingwa barani Afrika

"Moja kati ya vigezo vya uwanja sio tu sehemu ya kuchezea au ubora ila ni pamoja na umbali wa viti kutoka kimoja hadi kingine, kwa uwanja wa Amaan umekosa ivyo vigezo......uwanja kama wa Azam Complex unakidhi vigezo kutokana na umbali wa viti ambao kwa vigezo vya CAF wanataka kuanzia sentimita 45.........Azam walilazimika kupunguza idadi ya namba ya mashabiki kutoka elfu 6 hadi elfu 4 ili kukidhi vigezo vya CAF....

Kujipendekeza na Kusaka nafasi za Kisiasa kumeisha kwa Aibu, Mzee Magoma alishasema jamaa anapita utopoloni ili akagombee ubunge

Unakurupuka tu na kusema tutatumia uwanja fulani bila kufanya tafiti View attachment 3081253
umeandika kwa hasira sana mkuu....taratibu, kunywa maji upunguze hasira...!
 
CAF wazuia uwanja wa Amaan Complex kutumika kwenye mchezo wa Yanga SC wa klabu bingwa barani Afrika.

"Moja kati ya vigezo vya uwanja sio tu sehemu ya kuchezea au ubora ila ni pamoja na umbali wa viti kutoka kimoja hadi kingine, kwa uwanja wa Amaan umekosa ivyo vigezo uwanja kama wa Azam Complex unakidhi vigezo kutokana na umbali wa viti ambao kwa vigezo vya CAF wanataka kuanzia sentimita 45. Azam walilazimika kupunguza idadi ya namba ya mashabiki kutoka elfu 6 hadi elfu 4 ili kukidhi vigezo vya CAF.

Kujipendekeza na Kusaka nafasi za Kisiasa kumeisha kwa Aibu, Mzee Magoma alishasema jamaa anapita utopoloni ili akagombee ubunge.

Unakurupuka tu na kusema tutatumia uwanja fulani bila kufanya tafiti.

View attachment 3081253
Screenshot_20240828_171431_Instagram.jpg
 
Una hamu na mushedede wewe sio bure
 
Ule uwanja umetengenezwa ili utumike kwenye michezo ya AFCON iliyo chini ya CAF. kwa maelezo yako uwanja huu hautatumika AFCON ijayo??
Kwa pale ulivyo hauwezi tumika afcon, nyasi bandia sidhani kama afcon wanaruhusu
 
CAF wazuia uwanja wa Amaan Complex kutumika kwenye mchezo wa Yanga SC wa klabu bingwa barani Afrika.

"Moja kati ya vigezo vya uwanja sio tu sehemu ya kuchezea au ubora ila ni pamoja na umbali wa viti kutoka kimoja hadi kingine, kwa uwanja wa Amaan umekosa ivyo vigezo uwanja kama wa Azam Complex unakidhi vigezo kutokana na umbali wa viti ambao kwa vigezo vya CAF wanataka kuanzia sentimita 45. Azam walilazimika kupunguza idadi ya namba ya mashabiki kutoka elfu 6 hadi elfu 4 ili kukidhi vigezo vya CAF.

Kujipendekeza na Kusaka nafasi za Kisiasa kumeisha kwa Aibu, Mzee Magoma alishasema jamaa anapita utopoloni ili akagombee ubunge.

Unakurupuka tu na kusema tutatumia uwanja fulani bila kufanya tafiti.

View attachment 3081253
YANGA BINGWAAAAAAAA
 
JamiiForums taarifa kama hizi zinatakiwa ziwe na tiki yenu ili tujue ni za uhakika ama mtu tu amekurupuka kama sio ya kweli fanyeni kitu!..
taarifa kama sio yakweli inaharibu mtandao.
 
Kumbe kuna mtu umekusudia kumshambulia halafu unapita mbaaaaali Mkuu?!
 
CAF wazuia uwanja wa Amaan Complex kutumika kwenye mchezo wa Yanga SC wa klabu bingwa barani Afrika.

"Moja kati ya vigezo vya uwanja sio tu sehemu ya kuchezea au ubora ila ni pamoja na umbali wa viti kutoka kimoja hadi kingine, kwa uwanja wa Amaan umekosa ivyo vigezo uwanja kama wa Azam Complex unakidhi vigezo kutokana na umbali wa viti ambao kwa vigezo vya CAF wanataka kuanzia sentimita 45. Azam walilazimika kupunguza idadi ya namba ya mashabiki kutoka elfu 6 hadi elfu 4 ili kukidhi vigezo vya CAF.

Kujipendekeza na Kusaka nafasi za Kisiasa kumeisha kwa Aibu, Mzee Magoma alishasema jamaa anapita utopoloni ili akagombee ubunge.

Unakurupuka tu na kusema tutatumia uwanja fulani bila kufanya tafiti.

View attachment 3081253
Maelezo yako tu yanaonyesha jinsi ulivyo na chuki kutokana na mafanikio ya Yanga hasa jinsi Yanga inavyoinyanyasa Simba uwanjani. POLE SANA ILA PUNGUZA WIVU NA CHUKI KWA MANUFAA YA AFYA YAKO.

Halafu mmejiita jina la mnyama Shujaa sana lakini mna tabia za fisi anayependwa na wachawi
 
Ubaya ubwege usiwe unaanzisha mada za vichochoroni hapa kwa wakubwa na wanaojua dunia inavyokwenda sawa ili upunguze fedheha..
 
Back
Top Bottom