CAF wazuia uwanja wa Amaan Complex kutumika kwenye mchezo wa Yanga SC wa klabu bingwa barani Afrika

umeandika kwa hasira sana mkuu....taratibu, kunywa maji upunguze hasira...!
 
 
Una hamu na mushedede wewe sio bure
 
Ule uwanja umetengenezwa ili utumike kwenye michezo ya AFCON iliyo chini ya CAF. kwa maelezo yako uwanja huu hautatumika AFCON ijayo??
Kwa pale ulivyo hauwezi tumika afcon, nyasi bandia sidhani kama afcon wanaruhusu
 
YANGA BINGWAAAAAAAA
 
JamiiForums taarifa kama hizi zinatakiwa ziwe na tiki yenu ili tujue ni za uhakika ama mtu tu amekurupuka kama sio ya kweli fanyeni kitu!..
taarifa kama sio yakweli inaharibu mtandao.
 
Kumbe kuna mtu umekusudia kumshambulia halafu unapita mbaaaaali Mkuu?!
 
Maelezo yako tu yanaonyesha jinsi ulivyo na chuki kutokana na mafanikio ya Yanga hasa jinsi Yanga inavyoinyanyasa Simba uwanjani. POLE SANA ILA PUNGUZA WIVU NA CHUKI KWA MANUFAA YA AFYA YAKO.

Halafu mmejiita jina la mnyama Shujaa sana lakini mna tabia za fisi anayependwa na wachawi
 
Ubaya ubwege usiwe unaanzisha mada za vichochoroni hapa kwa wakubwa na wanaojua dunia inavyokwenda sawa ili upunguze fedheha..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…