CAF wekeni interval ya miaka mitatu mitatu Afcon moja kwenda nyingine.

CAF wekeni interval ya miaka mitatu mitatu Afcon moja kwenda nyingine.

Anonymous Caller

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2016
Posts
679
Reaction score
870
Hii airisha-airisha imekuwa too much..Na ni aibu pia kwa shirikisho.

Ili kurejesha msisimko wa Afcon,
CAF kwanini wasipanue vipindi vya miaka 3 kati ya tournament moja kwenda nyingine ili nchi inayo-host ipate muda wa kutosha kuandaa miundombinu.

Inaitwa AFCON 2025-Morocco...halafu mashindano yatachezwa 2026..

AFCON 2027-Tanzania Kenya & Uganda Kumbe mashinano yapo 2028 sasa akili gani hizi jamani.

Jambo jingine Michuano hii imepoteza mvuto kwasababu ya kusogezwa kuchezwa karibu karibu sana
Hebu fikirieni miaka 2010 2012 2013 2015 2017 2019 zote hizo ni Afcon.

Kwenye mabara ya wenzetu tunaona ni interval ya miaka minne minne...na mechi zinachezwa kipindi ambacho ligi nyingi zimesimama duniani...
Na huwezi kusikia mashindano yanaahirishwa ovyo ovyo kama barani Afrika...

Michuano ya CHAN ni project iliyofeli ifutwe...
Hii haina tofauti na Cecafa au Kagame cup.
 
Back
Top Bottom