Yes. Kwasababu hata wakisema mechi ipigwe Uganda kwa vile wote hawana makosa, hapo Namungo anakuwa hatendewi haki kutokana na gharama za safari, kwamaana anatalazimika kusafiri mara mbili wakati Agosto mara moja.Hapo nimeelewa
Kama nawaona vidimbwi wanavyoteseka, na bado watateseka sana.Waje waje waje,matunda ya "Visit Tanzania"yaanza kuonekana.
Namungo wafanye kweli wasituangushe.
Safi sanaUamuzi huo umefikiwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika ( CAF) baada ya kujiridhisha kuwa timu zote mbili hazikuhusika kukwamisha mchezo uliopangwa kufanyika Februari 14 nchinii Angola.
Kamati ya CAF imeagiza kuwa mechi zote mbili ziwe zimechezwa kufikia Februari 26, 2021.
Timu ya Agosto ya Angola ikiwa mwenyeji wa mechi ya kwanza itawajibika kulipia gharama za maandalizi ikiwemo maofisa wa mechi hiyo
TFF
Si wako karantini,kutoka kule lazima wawe wamepona so hata wakicheza hapakuwepo wasiwasiwatabaki mdomo wazi pale watapoona wale wachezaji wa namungo waliothibitishwa kua wana corona nao wanakipiga siku hiyo
Agosto wamenusurika kugawa point za mezani washukuru busara ya CAFCAF sijui wametumia vigezo gani Japo ni habari njema
Tena mara mbili zote unakula nyundo. Mpira sio kitu cha mzaaa. Barca jana kala nne nyumbaniMhimu kukaza tu unaweza ukawa na mashabiki wa kutosha nyumbani kwako na kipondo kikakuhusu Kama ilivyo kuwa kwa vita congo.
Time will tell! Mbivu na michi soon zitajulikana.Tena mara mbili zote unakula nyundo. Mpira sio kitu cha mzaaa. Barca jana kala nne nyumbani
Ili nanyie mfutiwe mechi tenaHakuna match hapo, hao waangola uwezekano wa kuto kuja ni mkubwa sana.
Halafu baada ya match wakishinda tuu, tunawapima na wote wanakuwa na corona.. tutawaweke lugalo jeshini wiki 2 hadi wapate akili
Hilo ni jibu nimemjibu mdau hapo, si kwamba nauliza au sijaelewa, muwe mnafuatilia kwanza mjadala...!Ww nawe cjui uandikiwe kwa lugha gani uelewe.