CAF yaamua mechi zote mbili za Namungo FC Vs. CD1 Agosto ya Angola kuchezwa Tanzania

Namungo wangepewa ushindi kwa mechi ya angola the angola ikasubiriwa tanzania endapo isingekuja namungo ikaongezewa point zote ki ujumla ikasonga mbele
 
Hawa tuwalete huku green city na hizi mvua wakipige sokoine ***** zao
 
mkuu...kama ulikua unalifuatilia hili sakata ni kwa De agosto wenyewe ndiyo waliokuwa wanaprovide kila kitu kwa Namungo wakiwa wamekatazwa kutoka pia Meneja wa De agosto aliwaambia Namungo pia anajiandaa kuelekea Dar soon kuangalia mambo ya accomodation kwa ajili ya timu yake kwani anaamini mechi ya pili itachezwa Dar as walidhani mechi ya kwanza imefutwa.

Kama ingekua ni suala la figisu basi wangeteua baadhi ya wachezaji na kuwapa corona ili Namungo iwe dhaifu waibamize lakini kwa case iliyopo nasimama na CAF hiyo timu wala Namungo hawajausika ila serikali yao kwani kika serikali inachukulia kivyake suala la covid, so mechi ipigwe tu bongo tusichanganye siasa na michezo.

Nb; Hiyo timu ni kubwa sana kuihofia timu kama Namungo kwa kiasi hicho.
 
Hakuna match hapo, hao waangola uwezekano wa kuto kuja ni mkubwa sana.

Halafu baada ya match wakishinda tuu, tunawapima na wote wanakuwa na corona.. tutawaweke lugalo jeshini wiki 2 hadi wapate akili
Mara hawatakuja, Mara mechi ikiisha wapimwe. Hueleweki wewe. Shule wapi ulienda? St. Kayumba?
 
Hakuna match hapo, hao waangola uwezekano wa kuto kuja ni mkubwa sana.

Halafu baada ya match wakishinda tuu, tunawapima na wote wanakuwa na corona.. tutawaweke lugalo jeshini wiki 2 hadi wapate akili
CAF haitaruhusu
 
CAF Wamesema uchunguzi wao wamebaini kuwa si Agosto wala Namungo waliohusika moja kwa moja kukwamisha kutopigwa mechi ya February 14 nchini Angola
Namungo wameliwa!!!. Walishaambiwa kuwa wamesonga mbele kumbe bado kuna kurudiwa kiporo, mechi mbili zote!!!. wameshaondolewa. Maskini Namungo. Nashauri wasikubali kwani sheria 17hazisemi hivyo
 
Huu ndio ukweli, kikipigwa fair Namungo ni underdog kwa hao jamaa
 
Serikali yao haitawaruhusu de agosto kuja Bongo kucheza dhidi ya wachezaji walewale waliowatuhumu kuwa wote wanakorona na kutaka kuwaweka karantini kwa siku 14.
Wa
Sawa kabisa na hiyo ni haki bin haki!!! Watatuelewa tu!!! Visit Tanzania!! The most free state!!
 
Namungo inawezeza chukua kombe kimzaha kama

Namungo wangepewa ushindi kwa mechi ya angola the angola ikasubiriwa tanzania endapo isingekuja namungo ikaongezewa point zote ki ujumla ikasonga mbele
Point hutolewa uwanjani tu, mtoa point ni mpuliza filimbi na lazima we uwanjani, na lazima timu moja inayopewa point iwe uanjani na timu pinzani isitokee uwanjani. Hayo masharti hayakutimizwa.
 
Yanga kwa roho chafu zao watakuwa upande wa Agosto,
 
Namungo wameliwa!!!. Walishaambiwa kuwa wamesonga mbele kumbe bado kuna kurudiwa kiporo, mechi mbili zote!!!. wameshaondolewa. Maskini Namungo. Nashauri wasikubali kwani sheria 17hazisemi hivyo
Hapo kutolewa ni kujitakia.
Mechi ya kwanza Azam Complex, ya pili nayo Azam Complex
 
Nyuma ya pazia agosto alihusika tu sasa CAF hawawezi kuwafungia na kuharibu ratiba nzima kilivhofanyika ni kuwaadhibu waangola kisayansi. Kama huanini hili halitajitokeza tena kwa wana angola kufanya walicho kifanya
Hata wangeshuka Malaika kusema hakuna hujuma watu wenye vichwa maji kama wewe mngebisha tu. Ugonjwa huu wa janja janja kwa Watanzania sijui tiba tutaipata wapi πŸ™„
 
Hata wangeshuka Malaika kusema hakuna hujuma watu wenye vichwa maji kama wewe mngebisha tu. Ugonjwa huu wa janja janja kwa Watanzania sijui tiba tutaipata wapi πŸ™„
Ama kichwa chako kimejaa maziwa mgando au tope. Hujiulizi kwanini mechi zote zifanyikie hapa kama CAF hawajanusa harufu ya hujuma dhidi ya namungo iliyofanywa na wenyeji wao? Ulitaka waseme moja kwa moja kuwa angola wamehusika? Unawaza kwakutumia kichwa cha uume wako au masaburi?
 
May be nawaza kw kutumia makalio ya Mama yako who knows πŸ€·β€β™‚οΈ
 
Ni kama adhabu wamewapa ila si ya moja kwa moja. Kucheza game zote away tayri kwao ni penalty.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…