Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio hapatoki mtuSasa wale ambao wanategemeaga kwa mkapa itakuwaje
Chamazi hairuhusiwi kuchezea kuanzia hatua ya makundi ya CAF CL na super Cup ya Simba, maana ina nyasi bandia. Unaruhusiwa tu katika hatua za awali za michuano ya CAFChamazi ipo.
Taja hivyo viwanja vya Kenya na Uganda ambavyo ni bora kuliko uwanja wa Mkapa..Nina imani supercup simba wataenda kuchezea kenya Au Uganda kama uwanja wa nyumbani kama wenye mamlaka hawata chukua maamuzi stahiki
Kama hapwei pesa za matengenezo atafanyaje pesa yote inaenda hazina na pesa ikienda hazina kutoka sahau ilitakiwa ule uwanja ujiendeshe kwa mapato yake sasa mapato yanaenda sehemu nyingine uwanja utajiendesha vp.Manager Wa Ule Uwanja Ni Kilaza, Pitch ilikuwa Inaonekana Tu Inadhoofika Kadri Siku Zinavyozidi Kwenda Na Yeye Yupo Tu.
Grade ya pitches ni tofauti yetu ni kama third pitch wakati ulaya huko first grade pitch..Hivi vile viwanja vya ulaya vinatengenezwaje? Ukiangalia pitch inavutia balaa. Sisi tunashindwa nn? Huo uwanja wa mkapa hata ukiwa kwenye ubora haujawai fikia ubora wa zile pitch za old Trafford, Emirates hata pitch za kina Burnley tu. Kwann?
Hivi zile pitch ni bei gn mpaka sisi tunashindwa?
Hii nchi kila kitu tatizo aisee
Hali ya Hewa pia inachangia.Hivi vile viwanja vya ulaya vinatengenezwaje? Ukiangalia pitch inavutia balaa. Sisi tunashindwa nn? Huo uwanja wa mkapa hata ukiwa kwenye ubora haujawai fikia ubora wa zile pitch za old Trafford, Emirates hata pitch za kina Burnley tu. Kwann?
Hivi zile pitch ni bei gn mpaka sisi tunashindwa?
Hii nchi kila kitu tatizo aisee