CAF yafungia uwanja wa Mkapa

Nina imani supercup simba wataenda kuchezea kenya Au Uganda kama uwanja wa nyumbani kama wenye mamlaka hawata chukua maamuzi stahiki
 
Nina imani supercup simba wataenda kuchezea kenya Au Uganda kama uwanja wa nyumbani kama wenye mamlaka hawata chukua maamuzi stahiki
Taja hivyo viwanja vya Kenya na Uganda ambavyo ni bora kuliko uwanja wa Mkapa..
 
Huu uwanja unatumika sana sijui wasimamizi hawalioni hilo wanaangalia pesa tu uwanja unatumika siku tatu mfululizo bila kupumzika halafu wanaahidi million kila goli badala ya kukarabati uwanja vyoo havifai zile scanner zinashida wanaofanya usafi pale hawalipwi nchi yangu kweli ina safari ndefu.

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Manager Wa Ule Uwanja Ni Kilaza, Pitch ilikuwa Inaonekana Tu Inadhoofika Kadri Siku Zinavyozidi Kwenda Na Yeye Yupo Tu.
Kama hapwei pesa za matengenezo atafanyaje pesa yote inaenda hazina na pesa ikienda hazina kutoka sahau ilitakiwa ule uwanja ujiendeshe kwa mapato yake sasa mapato yanaenda sehemu nyingine uwanja utajiendesha vp.

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Hivi vile viwanja vya ulaya vinatengenezwaje? Ukiangalia pitch inavutia balaa. Sisi tunashindwa nn? Huo uwanja wa mkapa hata ukiwa kwenye ubora haujawai fikia ubora wa zile pitch za old Trafford, Emirates hata pitch za kina Burnley tu. Kwann?

Hivi zile pitch ni bei gn mpaka sisi tunashindwa?

Hii nchi kila kitu tatizo aisee
 
Grade ya pitches ni tofauti yetu ni kama third pitch wakati ulaya huko first grade pitch..
 
Hali ya Hewa pia inachangia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…