CAF yaiengua Kenya kuandaa Chan 2025 waambiwa viwanja vyao havina vigezo

CAF yaiengua Kenya kuandaa Chan 2025 waambiwa viwanja vyao havina vigezo

Nimelia sana kusikia kuwa uwanja wa Kasarani na vingine havina adhi ya kuandaa michuano ya Chan,na nafasi yao imepelekwa kwa Rwanda
Poleni wakenya
Hebu rudia kusoma ulichoandika kisha rekebisha.
 
Hata ukiangalia ligi yao inachezwa kwenye viwanja vibovu kiasi cha kushusha shauku ya kuendelea kufuatilia soka lao
 
Kipchumba murkomen kila siku anazindua kamati zisizo na kichwa wala miguu
 
Nimelia sana kusikia kuwa uwanja wa Kasarani na vingine havina hadhi ya kuandaa michuano ya CHAN 2025
nafasi yao imepelekwa kwa Rwanda
Poleni wakenya
Jana niliona taarifa kupitia BBC, waziri wa michezo Kenya akikanusha hizi habari na akadai wako kwenye ukarabati mkubwa wa viwanja husika kujiweka tayari kwa mashindano.
 
Kenya na football wapi na wapi? Waambie maandamano, aaah
Kenya walikuwa juu sana kutushinda Tanzania kwa kila kitu,kwa sasa tumewaacha kwenye kila kitu,hata kwenye elimu wamedrop sana,ni lazima tuipende nchi yetu kuwa pamoja na matatizo tuliyanayo tuko mbali sana
 
Utoto raha sana. Unajaribu kutudanganya sio.
 
Back
Top Bottom