wamatopen watakuja kwa bodaboda pale taifa kutazama mechiViva yanga bado pipa linatuhusu.
OKESPERANCA ni timu ya angola....c esperance unayosema ww ni ya tunisia
ipo jamaa yangu, si wareno waleAngola kuna Esperanca?
usiwe na mashaka, nalifanyia kazi hili sahivi, tutazitengeneza kwa wingi kabisa na kuziuza siku ya mechi hivyo andaa elfu kumi yako tu...hii huwa ni fursa nzuri sana ya kupata hela za mashabiki wa simba kama wewe....nitapataje jezi ya Sagrada Esperanca ya Angola itakayocheza na yanga mwezi ujao
nitapataje jezi ya Sagrada Esperanca ya Angola itakayocheza na yanga mwezi ujao
Utakufa na pressure kwa kushabikia timu mzigo lisilo kwenye ramani ya soka kimataifa[emoji12] [emoji13]nitapataje jezi ya Sagrada Esperanca ya Angola itakayocheza na yanga mwezi ujao
Hawajui chuki inaua Waache ndugu yangu hao.Utakufa na pressure kwa kushabikia timu mzigo lisilo kwenye ramani ya soka kimataifa[emoji12] [emoji13]
View attachment 341374
Baada ya kutolewa na Al Ahly kwenye michuano ya klabu bingwa Afrika timu ya Yanga sasa kupambana na Esperanca ya Angola.
Utaratibu wa CAF ulikuwa kama ifuatavyo;
Timu nane (8)zilizofuzu kutoka michuano ya shirikisho ambazo ni Esperance (Tunisia), Stade Gabesien (Tunisia), FUS Rabat (Morocco), Misr Makkassa (Egypt), Esperanca (Angola), CF Mounana (Gabon), Kawkab (Morocco) and Medeama (Ghana).
Na timu nane (8)zilizofuzu kutoka ligi ya mabingwa ambazo ni TP Mazembe (DR Congo), Etoile du Sahel (Tunisia), El Merreikh (Sudan), Stade Malien (Mali), MO Bejaia (Algeria), Ahli Tripoli (Libya), Mamelodi Sundowns (South Africa) and Young Africans (Tanzania)
Mechi hizo kuchezwa 6-8 Mei 2016 kwa mechi za mzunguko wa kwanza na tarehe 17-18 Mei 2016.
Kila la kheri Yanga.
Ndio wanashika nafasi ya 10 katika ligi yenye timu 16. Msimu uliopita wa 2014/2015 waliishia nafasi ya 10 ila wameshiriki kombe hili la shirikisho baada ya Kuwa mabingwa wa kombe la FA kule kwao. Tukijipanga tunaweza kuwatoa hawa jamaa, cha msingi timu yetu ifanye maandalizi kama tunakutana na timu kama Al ahly na sio kuwadharau hawa Waangola.Huko kwao hao jamaa wanashika nafasi ya kumi nasikia..
Utakufa na pressure kwa kushabikia timu mzigo lisilo kwenye ramani ya soka kimataifa[emoji12] [emoji13]
Simba wale wa serengeti au wa wapi? Maana kama hamchezi mechi za kimataifa, mnatambulikaje sasa? Pamoja na kushindwa katika mechi hizo lkn tumecheza na tuliocheza nao wametukubali.Hivi Yanga inatambulika kimataifa, toka lini? Hata ile mechi ya jana mtangazaji alikuwa hana uhakika Yanga inatoka wapi, watu wanajuwa Simba tu.