CAF yaipiga Simba SC faini ya Tsh. Milioni 23 kwa kufanya ‘tambiko hatarishi’ wakati wa mchezo wao dhidi ya Orlando Pirates

Sasa si unaona hapo jamaa kuna kitu anakifukia na mguu hapo
Hivi macho yako yanaona vizuri? Amefukua kitu hivyo ni lazima arudishie ardhi kwa kushindilia na mguu.
 
Acha uongo mkuu. Djuma alikuwa anafukia mzoga wa mjusi.. Msiwapakazie Tz prison kwa jambo mlilolifanya wenyewe. Na kama alifukua , hatima ya hiyo mechi ilikuwaje?
Angalia ile video tangu mwanzo usilete ubishi..prison ndio walianza kufukia walipoondoka djuma akaenda fukua
 
tumeshagundua kwanini wanasemaga kwa mkapa hatoki mtu
 
Sijui walifaidika na nini pamoja na kumtima Djuma kufukia ile nanii pale kwa mkapa
Djuma hakuwa anafukia, Bali alikuwa anatoa kilichowekwa. Kwan hukubahatika kuona Ile clip in full?
 
Alifukia na camera zote zilimuonesha akifukua fukua afu akatumbukiza kitu kwenye shimo kisha akafukia

si ndivyo alivyo agizwa na mganga wenu
Angalia vizuri hii clip
Your browser is not able to display this video.
 
Wenye wanajiita wakimataifa ila akili zao na matendo yao ya kindondo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…