CAF yaipiga Simba SC faini ya Tsh. Milioni 23 kwa kufanya ‘tambiko hatarishi’ wakati wa mchezo wao dhidi ya Orlando Pirates

CAF yaipiga Simba SC faini ya Tsh. Milioni 23 kwa kufanya ‘tambiko hatarishi’ wakati wa mchezo wao dhidi ya Orlando Pirates

Na yule boya wenu aliyefukia kitu katikati uwanja wa taifa tumuiteje
Yupo wapi wakati mpaka CAF wamewaona.Halafu umewapa gharama wenzenu majani ya pale uwanjani wanayatunza kwa gharama kubwa, yaani kwa ule moshi mlio iwasha pale, gharama ya kurekebisha ya majani ni mishahara ya miezi mitatu ya wachezaji na viongozi wote wa Simba.

Mmelitia aibu na CAF wangewaachia mwakani mgeenda na tunguli pamoja na nyanga.
 
Sijui walifaidika na nini pamoja na kumtima Djuma kufukia ile nanii pale kwa mkapa
Juma hajafukia kitu,alienda kufukua uchawi wa mikia waliowapa prison wafukie katikati ya kiwanja,makolo mnafosi tufanane naona
 

Attachments

  • hajismanara_1652201520503440.mp4
    6.7 MB
Sasa Kama wanauamini sana huo moshi wasingeeda uwanjani wangeacha uwachezee!!.. kamati za Tanzania bhana zimekaa kipigaji tu..😂
Yaani mpira wa Kibongo ni shida kwenye ushirikina. Kama unakumbuka mwaka 1993 Timu ya Simba ilifika fainali ya Kombe la CAF wakati huo. Mechi ilipigwa kati ya Simba na Stella Abidjan. Sasa, alipohojiwa hapa juzi kati nini kiliwasibu mpaka wakapoteza ubingwa kwa kufungwa mabao 2 na Stella Abidjan George Magere Masatu (Kitasa bora wa Simba kipindi hicho) alisema namnukuu"Siku moja kabla ya mchezo huo tulizungushwa makaburini na Waganga usiku kucha, kiasi kwamba siku ya mchezo wenyewe tulikuwa tumechoka sana". Hivyo ndivyo, Simba walivyopoteza mchezo kijinga mbele ya akina Boli Zozo!
 
Mambo ya ajabu sana haya kwa club kubwa kama ya simba kufanya vitu kama hivyo hadharani
Bora wangetumia ndumba za maji kama kulikuwa na ulazima..
 
Hii ndio imemuonesha vizuri djuma akiwa anaisindilia kabisa baada ya kuifukia

Aisee nimesikitika sana
Sawaa
IMG-20220517-WA0022.jpg
 
Back
Top Bottom