joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Yupo wapi wakati mpaka CAF wamewaona.Halafu umewapa gharama wenzenu majani ya pale uwanjani wanayatunza kwa gharama kubwa, yaani kwa ule moshi mlio iwasha pale, gharama ya kurekebisha ya majani ni mishahara ya miezi mitatu ya wachezaji na viongozi wote wa Simba.Na yule boya wenu aliyefukia kitu katikati uwanja wa taifa tumuiteje
Juma hajafukia kitu,alienda kufukua uchawi wa mikia waliowapa prison wafukie katikati ya kiwanja,makolo mnafosi tufanane naonaSijui walifaidika na nini pamoja na kumtima Djuma kufukia ile nanii pale kwa mkapa
Yaani mpira wa Kibongo ni shida kwenye ushirikina. Kama unakumbuka mwaka 1993 Timu ya Simba ilifika fainali ya Kombe la CAF wakati huo. Mechi ilipigwa kati ya Simba na Stella Abidjan. Sasa, alipohojiwa hapa juzi kati nini kiliwasibu mpaka wakapoteza ubingwa kwa kufungwa mabao 2 na Stella Abidjan George Magere Masatu (Kitasa bora wa Simba kipindi hicho) alisema namnukuu"Siku moja kabla ya mchezo huo tulizungushwa makaburini na Waganga usiku kucha, kiasi kwamba siku ya mchezo wenyewe tulikuwa tumechoka sana". Hivyo ndivyo, Simba walivyopoteza mchezo kijinga mbele ya akina Boli Zozo!Sasa Kama wanauamini sana huo moshi wasingeeda uwanjani wangeacha uwachezee!!.. kamati za Tanzania bhana zimekaa kipigaji tu..😂
SawaaHii ndio imemuonesha vizuri djuma akiwa anaisindilia kabisa baada ya kuifukia
Aisee nimesikitika sana