Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) limetupilia mbali ombi la klabu ya MC Alger la kuhamisha mechi ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Yanga SC kutoka uwanja wa 5 July 1962 na kuihamishia Douéra.
Mechi hiyo sasa itachezwa kama ilivyopangwa kwenye uwanja wa 5 July 1962.