Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) limetupilia mbali ombi la klabu ya MC Alger la kuhamisha mechi ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Yanga SC kutoka uwanja wa 5 July 1962 na kuihamishia Douéra.
Mechi hiyo sasa itachezwa kama ilivyopangwa kwenye uwanja wa 5 July 1962.
Soma, Pia: Aucho, Mzize na Boka warejea kikosini kwa mchezo wa pili dhidi ya MC Alger Ligi ya Mabingwa Afrika
Mwamuzi kutoka Ghana, Daniel Laryea, atakuwa msimamizi wa mchezo huu.