CAF yakumbushia comeback kubwa kuwahi kutokea ya Simba SC, Ligi ya Mabingwa Afrika

Weka na comeback ya march 8 mkuu [emoji3][emoji3][emoji23]
 
Jana nilishuhudia gharika la.mashabiki wa mabingwa kwenye page za CAF. ilikuwa balaa,huku kwa mbaaali gongowazi wakilalamika Simba kupendelewa
 
Ila ni kumbukizi ya kitambo sana.....sidhani kama kulikuwa na sheria ya offside! Kumbukumbu ya karibuni ni zile khamsa za back to back bila shaka watoto wetu watakumbushwa na wao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila mikia bana sasa mwenzio kaweza kukufunga kwako nne kuna ajabu gani wewe kwenda kufunga 5. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kwa kuwa ligi imesimama tujifurahisheni na hata haya tu mana hatuna jinsi. 😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…