mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Aiseee simba anabebwa na kila MTU
Tff,Cecafa,Zff na Caf
Tff,Cecafa,Zff na Caf
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Betting is suspended bro tafuteni kazi ingine kwa muda au muda wa license umekaribia kwisha na hamna hela ya kuwalipa GB?Habari wakuu...?..kwa wale wenzangu wa kubet mnaweza kupitia hapo chini ili uweze kujiunga na bet bomba online
PARIMATCH
Sent using Jamii Forums mobile app
Wataanzia 6-0Kisha baada ya hapo watahamia derby za nchi na watapost zile Simba 5-0 Yanga za mwaka 2012[emoji23]
Vyura fc watapinga
Jr[emoji769]
wapo Insta wanaitukana CAF matusi ya nguoniVyura fc watapinga
Jr[emoji769]
Ni kumbukumbu ngumu sana kuvunjwa, ila iende sambamba ni ile nyingine ya kufungwa mbele ya maraisi watatu.Hii rekodi ni ngumu kuvunjwa, ndo maana hadi leo Caf wanakumbuka kuona ilikuwa Comeback ya hatari..This Is Simba SC
Wanatamani sana wangekuwa wao, lakini hawana namna..Ndo maana tunawaambia Simba ni Taifa Kubwa, NguvuMoja
Walozi FC? Kwani Kagere anachezea club gani au ni ndumba FC?Wautopoloni fc, walozi fc watasema wanahujumiwa na CAF
Natumaini Shadeeya hajanunaWamevimba mashavu, hawataki hata kusikia hii rekodi ya kimbunga