Kunguru Mjanja
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 2,046
- 3,971
alikula rushwa ili afanye kitu gani ile habari mpaka leo sijaielewa vizuri yaani aliyempa hela alitaka apate huduma gani?Marwa alikula mlungula huyo. Na jamaa aliyempa rushwa alikuwa mwanahabari huku akijifanya ni Afisa wa chama cha soka. Alimrekodi video kwa siri pasipo mwenyewe kujua.