CAF yamtema refa aliyekataa goli la Aziz Ki

CAF yamtema refa aliyekataa goli la Aziz Ki

Hizi tabia za kikekike za kujilizaliza zitaisha lini? Na hii inaonesha ni jinsi gani uto ni timu ndogo Afrika .

Timu kubwa haiwezi kukaa eda mwaka mzima kulilia goli lililokataliwa na refa.
Young Africa ipo level za mamelod
 
Dude kubwa la kulilia goli lililokataliwa. Dude kubwa la kushindwa kurudisha goli lililokataliwa, na ni Aziz ki huyo huyo aliyekuwa wa kwanza kukosa goli la penati na kuudhihirisha ulimwengu wa soka kwamba Uto ni dude kubwa la kulalamikia goli na ni dude kubwa la kufeli
pia dudu la kupiga mtu kono
 
Shirikisho la soka Afrika (CAF) limefanya mabadiliko ya timu ya waamuzi kwenye mchezo wa kombe la Shirikisho kati ya USM Algers dhidi ya RS Berkane ambapo Mwamuzi wa Mauritania, Beida Dahane ameondolewa kwenye nafasi hiyo huku nafasi yake ikichukuliwa na Aziz Bouh Abdel naye wa Mauritania.

Dahane atakumbukwa kwa maamuzi yake ya utata kwenye mchezo wa robo fainali ya CAFCL kati ya Mamelodi Sundowns dhidi ya Young Africans Sc ambapo alikataa bao halali la kiungo wa Yanga Stephanie Aziz Ki na kuzuia sintofahamu na mashabiki wa soka barani Afrika.

Aziz Bouh Abdel ndiye Mwamuzi aliyechezesha mechi ya hatua ya makundi kati ya Yanga Sc dhidi ya Al Ahly mnamo Desemba 2, 2023 katika dimba la Benjamin Mkapa kwenye sare ya 1-1.
#KitengeSports

Nb: Yanga ni dude kubwa[emoji23]

View attachment 2967547
Imemtema kwasababu gani?

Au bado mnaweweseka na lile goli.
 
Source ni kitenge [emoji1787]
 
Yupo kwenye maandalizi ya Olympic ndio maana imefanyika switching

Kitenge ni mwendawazimu.hafai kuwa mwandishi wa habari

He is always misleading kwa makusudi
Tanzania hamna waandishi mna waropokaji...
 
Ko Utopolo wataenda Semi final? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mamelod wanacheza nusu fainali leo. Kwa nini CAF hawajatoa uamuzi wa rufaa/malalamiko ya Yanga?
 
Back
Top Bottom